WEMA AONESHA MAHABA NIUE LIVE
![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70vKRrKI8-7YO7*0jKQzyHGBCmSBN9juNSzAAIRiBLSSajtsEhEmgvJrgisNmcYyjI*SHiVrWrBFyXLbe-PuQFWs/wema.gif?width=650)
Musa Mateja LIVE! The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akionesha mahaba niue kwa ‘kujibebisha’ kwa Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Manana huku akimmwagia sifa nyingi na kudai ndiye laazizi wa moyo wake kwa sasa baada ya kuachana na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’. The Big Boss wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies06 Oct
Wastara Aonesha Mahaba Niue Live
Live! Hakuna siri tena kati ya staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Bond Bin Sinan baada ya kuonesha mahaba niue kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa kwenye ‘bethidei’ ya mwigizaji huyo.
Habari kutoka kwa shushushu wetu zilidadavua kwamba, mpango mzima ulijiri kwenye bonge la pati ya kuzaliwa kwa Wastara iliyochukua nafasi katika Hoteli ya Sun-Rise iliyopo Kigamboni jijini Dar.
Katika pati hiyo ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTs2bp1B9*le9Ut4V*dS8f0nQUpsGJSxPZ261jJRGJd97eaz6aj5arfTU0fOhoN2z9t1uJBSsF3bScJ0hbJC9Q2/1.jpg?width=650)
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!
10 years ago
Vijimambo01 Apr
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE AU PROJECT
WAANDISHI WA GPLWAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan.
NI ESCAPE ONE MIKOCHENIWawili hao walinaswa wakioneshana mahaba niue...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/s7s9Z08DG1wRymbh7XEk9ygActHB*RYUWonUbAUjk4G1GuwlY4aWNiTN1hwbUnKMQ-43Xtb0WROJ*bpdTwLm84AJ8i9kyxQW/WEMA.jpg?width=650)
WEMA, IDRISS, WAONESHANA MAHABA LIVE IKULU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTuAklxcRvbdmrRonStZWcDNJ*FG8*GiuDSsOMkMbfjPm51n5eGEItlSHql5p4JqHT4TglxZHpZ2aHSjdXIDWNnT/FRONT.jpg)
WEMA, BOB JUNIOR LIVE, WATUMIA DAKIKA 10 KUONYESHANA MAHABA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pyBac3zfF97oePOTEd-E0Akq1G4i-sApwgVjC3HsWaEq4DWlOly67kdMrN4gmL44XuXD6t357W6T2tkcRQ6iJ9/lungi.jpg)
LUNGI NA MAHABA NIUE
10 years ago
Bongo531 Jan
New Video: Pasha — Mahaba Niue
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejJ2UUTfn2MAgg4Pv-AKLiRcencA2uMfRq*N27WyFJ4eicOuIzMiUkcoIv1rTEW5slNq38ilr-NVOSAQCVoGAhi5/SNURA.jpg)
MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA