WEMA, IDRISS, WAONESHANA MAHABA LIVE IKULU
![](http://api.ning.com:80/files/s7s9Z08DG1wRymbh7XEk9ygActHB*RYUWonUbAUjk4G1GuwlY4aWNiTN1hwbUnKMQ-43Xtb0WROJ*bpdTwLm84AJ8i9kyxQW/WEMA.jpg?width=650)
Richard bukos MASTAA wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu, Alhamisi iliyopita walikuwa kwenye Ikulu ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wakionesha mahaba yao hadharani. Mastaa wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu wakikumbatiana. Mastaa hao ambao mara kadhaa wamekuwa wakikanusha vikali kuwa na uhusiano wa kujifunika shuka moja lakini mapozi yao ndiyo yalisababisha wawe gumzo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70vKRrKI8-7YO7*0jKQzyHGBCmSBN9juNSzAAIRiBLSSajtsEhEmgvJrgisNmcYyjI*SHiVrWrBFyXLbe-PuQFWs/wema.gif?width=650)
WEMA AONESHA MAHABA NIUE LIVE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTuAklxcRvbdmrRonStZWcDNJ*FG8*GiuDSsOMkMbfjPm51n5eGEItlSHql5p4JqHT4TglxZHpZ2aHSjdXIDWNnT/FRONT.jpg)
WEMA, BOB JUNIOR LIVE, WATUMIA DAKIKA 10 KUONYESHANA MAHABA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvQEP5fQvVYJ5H-IjwgfTB*BioJUL5gVBOL8ZwaGRbYrSoVdprgdoJjmZtjk5n2q4Mnpoj5l8aeQ9kScz9h1BhOH/Ray.jpg)
RAY, CHUCHU HANS WAONESHANA MAHABA HADHARANI!
9 years ago
Bongo521 Oct
Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020
10 years ago
CloudsFM23 Dec
IDRISS AITWA IKULU
Mshindi wa dola 300,000 za shindano la Bigbrother zaidi ya milioni 500 za Kitanzania,Idriss Sultan ameitwa na ofisi ya rais ikulu kukutana na rais Jakaya Kikwete mchana huu kwa ajili ya mazungumzo maalum na rais.
10 years ago
CloudsFM11 Dec
MSHINDI WA BBA IDRISS SULTAN AKIWA LIVE KWENYE XXL
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa''BBA'',Idriss Sultan akisalimia na mtangazaji wa kipindi cha xxl cha Clouds Fm,B Dozen wakati akizungumzia ushindi wake.
Idriss akiwa na msanii John Makini...PICHA ZAIDI ZINAKUJA..
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpHfqJJNDToDPjVJnYm4WBx*yj2vW596Yk3K*ot6-3pHrm0dl4NqVyiC-beczysWm2xbFU4od6C6Iu-HhI-Ie4JI/diamond.jpg?width=650)
WEMA, DIAMOND MAHABA BARABARANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTs2bp1B9*le9Ut4V*dS8f0nQUpsGJSxPZ261jJRGJd97eaz6aj5arfTU0fOhoN2z9t1uJBSsF3bScJ0hbJC9Q2/1.jpg?width=650)
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!