Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI WA BBA IDRISS SULTAN AKIWA LIVE KWENYE XXL

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa''BBA'',Idriss Sultan akisalimia na mtangazaji wa kipindi cha xxl cha Clouds Fm,B Dozen wakati akizungumzia ushindi wake.Idriss akiwa na msanii John Makini...PICHA ZAIDI ZINAKUJA..

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BBA IDRIS SULTAN ATINGA GLOBAL TV ONLINE

 Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akijiandaa kufanya mahojiano na wafanyakazi wa Global Publishers kupitia Global TV Online. Idris Sultan akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots

Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda […]

 

10 years ago

GPL

IDRISS WA BBA: NAANZA KUISHIWA!

Brighton Masalu MSHINDI wa Big Brother Hotshots 2014, Idriss Sultan amesema licha ya kupata fedha nyingi aliposhinda, lakini hivi sasa anaanza kuishiwa hivyo analazimika kuwa na nidhamu juu ya matumizi yake ya fedha. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1J3bI4e

 

10 years ago

GPL

IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014

Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu. Idris Sultan akiwa katika…

 

9 years ago

GPL

WEMA, IDRISS, WAONESHANA MAHABA LIVE IKULU

Richard bukos MASTAA wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu, Alhamisi iliyopita walikuwa kwenye Ikulu ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wakionesha mahaba yao hadharani. Mastaa wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu wakikumbatiana. Mastaa hao ambao mara kadhaa wamekuwa wakikanusha vikali kuwa na uhusiano wa kujifunika shuka moja lakini mapozi yao ndiyo yalisababisha wawe gumzo...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BBA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DAR

Mshindi wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda si mrefu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani