Nora: Wema, Lulu, Wolper wanaweza, Batulli, Aunt Ezekiel, Chuchu Hans hamna kitu!
Muigizaji wa filamu nchini, Nuru Nassoro maarufu kama Nora anaweza akawa ameshaongeza matatizo mengi kuyazidi 99 ya Jay Z. Kwenye kipindi cha hivi karibuni cha Mkasi, Salama Jabir alimuuliza swali gumu kwake la kuwataja wasanii wa filamu wanaofaa na wasiofaa. Nora alikataa kutaja akijitetea kuwa hataki beef na mtu lakini watangazaji wa show hiyo walimrahisishia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
9 years ago
Bongo507 Dec
‘Wema Sepetu na Lulu wanaweza kufanya vizuri Hollywood’ asema staa mkubwa wa filamu
Staa wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amesema Wema Sepetu na Elizabeth ‘Lulu’ Michael wanaweza kufanya vizuri Hollywood.
Akiongea na Bongo5, Napoleon amesema uwezo wa waigizaji hao unaweza kutisha watu kama wakipewa muongozo mzuri.
“Tanzania tuna waigizaji wazuri wengi sana,” amesema. “Watu wengi wakiangalia bongo movie wanaona movie mbovu au vipi. Hilo sio suala la uigizaji, hayo yanakuwa ni mambo mengine ya production yanayofanya filamu iwe mbovu labda filamu imeharakishwa...
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
10 years ago
GPLAUNT EZEKIEL: SIDHANI KAMA WEMA NI MTU WA KUFUNDISHWA
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo
Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.
Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...
11 years ago
GPLNJEMBA ‘AWAVUA’ NGUO WEMA, AUNT EZEKIEL
10 years ago
GPLWEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNT EZEKIEL NINGEGOMBANA NA WEWE
10 years ago
Bongo Movies18 May
Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?
Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.
Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende...