WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA
![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdiPExfrYkWXkm92ixZgRqFcC4pQM*-JtJVDk8T1CV7d9vs2GIxk1X8YLUIRqZIQTKsinIKAiUqaXnZDFrBQhrPw/FRONTRISASI.jpg)
Stori: Musa Mateja INAWEZEKANA ilikuwa utani? Au ‘waliamka’ nazo?! Kweli binadamu anaweza kuvunjika mbavu (kicheko) juu ya kaburi la mpendwa wake? Mh! Mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake, Aunt Ezekiel wakiangusha kicheko katika kaburi la marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Lakini imetokea! Wakati dunia ikisherehekea ujio wa mwaka mpya wa 2015, mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
Kicheko cha Wema na Aunt Ezekiel Kwenye Kaburi la Ngwea Chawashangaza Wengi!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa simu wakiwa juu ya kaburi la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Kwa mujibu wa GPL, Tukio hilo litokea Januari Mosi, mwaka huu ambapo Wema akiwa na team yake nzima ya Endless Fame walitembea kaburini hapo eneo la makaburi ya Kihonda mjini Morogoro wakiwa wakitokea Dodoma kuja Dar.
Inaelezwa kwamba awali inadaiwa kuwa, ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMkQucAeEyjY3zoNF5Wp07cge*gWNm*v8Uet2PGtQabxLpnPQdTE1HRC7fgssuCAh7gpX0vAshSqfK-4YpQF5Oeg/ngweacopy.jpg?width=650)
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZahK2JNbKSt9u2uuqgUeBWBGcNFmyRY*jbPRMmEvaGy8NJdbjAPoBj547C04u6p2zqvMIVY81LLQ4y47g2NMEmfVgZxZ16hk/wema.jpg?width=650)
WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm3T62WsfR2ZhnBimLyy0yekPqg-TsBpDonkiWntXfvbSC6rHHAtrOWkgWl4IdnDXWJyN4xPWz-Ud2spJSK0VTyC/AUNTY.gif?width=650)
AUNT ATIMULIWA KWA WEMA!
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo
Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.
Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQKtZpfuL7-se8J4ZvLVVrurmmVag8UQCciD1vrZ4A7hM74-Ly7Cm2Znpvl9p4Zgnr8fneW1OREy-zhzKdeo1CV3/wema.jpg?width=650)
UCHAFU WA WEMA, AUNT
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjNGbqPiQugHzHSJUfiL0nzBDtIfD2m5KnigxtKzQovbLZ3pMFAaNvZKp3TT5BGkkWnmrspm-qQdg5zUZVYpwYUs/auntycopy.jpg?width=650)
AUNT: SITAMZIKA WEMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZcJjc-cFlCFydPONc6eWwrTjtIH5e9b-MrHLYBtgbqFoTarbnxhumdXQ4Flm8EPN*Wkcss6NGpTOTr-19Pcnj07/rachel.jpg)
UCHAWI KABURINI KWA RECHO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzWpSvXMSjRb2Xrxl9VIL9IOQrMJyaeijXx6wjqsPjTwlAqMZVH-GSO5QUQybmt0vuU1*D*7n-OHEZA262pF*pej/jb.jpg)
WEMA, AUNT WAMWINGIZA MKENGE JB