PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMkQucAeEyjY3zoNF5Wp07cge*gWNm*v8Uet2PGtQabxLpnPQdTE1HRC7fgssuCAh7gpX0vAshSqfK-4YpQF5Oeg/ngweacopy.jpg?width=650)
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Ooo…Nooo! Wakati hati ya kifo cha aliyekuwa rapa bora Bongo, marehemu Albert Keneth Mangweha ‘Ngwea’, ikiendelea kushikiliwa nchini Afrika Kusini alikokutwa na umauti mwaka jana, kwenye kaburi lake kumekutwa tunguli zilizozungushiwa sanda, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, Kihonda mkoani Morogoro, Octavian Msimbe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdiPExfrYkWXkm92ixZgRqFcC4pQM*-JtJVDk8T1CV7d9vs2GIxk1X8YLUIRqZIQTKsinIKAiUqaXnZDFrBQhrPw/FRONTRISASI.jpg)
WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZcJjc-cFlCFydPONc6eWwrTjtIH5e9b-MrHLYBtgbqFoTarbnxhumdXQ4Flm8EPN*Wkcss6NGpTOTr-19Pcnj07/rachel.jpg)
UCHAWI KABURINI KWA RECHO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJJGN1gLplPuzTu0U5vc0ULzUR2HxG-hI78nLlQfM8Pm5klD5bFkf2HiaBkJ6jX-mK4oYBdPg2GY8sCAAfsMiZy7/d.jpg?width=650)
ALBINO WAANGUA KILIO KABURINI KWA NYERERE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZahK2JNbKSt9u2uuqgUeBWBGcNFmyRY*jbPRMmEvaGy8NJdbjAPoBj547C04u6p2zqvMIVY81LLQ4y47g2NMEmfVgZxZ16hk/wema.jpg?width=650)
WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!
10 years ago
Malvern Gazette03 Mar
A tractor for Tunguli in Tanzania
Malvern Gazette
Malvern Gazette
A TRACTOR that will make “an enormous difference to lives” is being donated to a small village in Tanzania by the Diocese of Worcester. The Massey Ferguson machine was purchased by the diocese in 2013 before being fully reconditioned by students of ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsul2Ii3OYsp9i6mZk1NSrNhR80EcFnHT09Mdnbd37-bposwW788HKGjYAEEkwTnna0J3f-ofWSaagfALNQS3UO1U/padri.jpg)
PADRI WA HISPANIA AFARIKI KWA EBOLA
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.
Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...
10 years ago
Habarileo16 Nov
Padri aliyekuwa akitafutwa kwa kulawiti mtoto afariki
MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekuwa akitafutwa na Mahakama ya Rufaa, Sixtus Kimaro, ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amefia nchini Msumbiji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo15 Dec
Mandela kaburini
NDEGE ya kijeshi aina ya C-130 Hercules iliyobeba mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, ilitua Uwanja wa Ndege wa Mthatha jana majira ya saa 6.37.