Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mandela kaburini

Jeneza la Nelson MandelaNDEGE ya kijeshi aina ya C-130 Hercules iliyobeba mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, ilitua Uwanja wa Ndege wa Mthatha jana majira ya saa 6.37.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mandela Kuzikwa Kimila,ng'ombe dume kumsindikiza kaburini

Ng’ombe dume (fahali) atachinjwa kisha kuwekwa katika kaburi atakamozikwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, Kijiji cha Qunu, Mthatha Jimbo la Eastern Cape Jumapili hii.

 

11 years ago

GPL

UCHAWI KABURINI KWA RECHO

Richard bukos na ISSA MNALLY AMA kweli duniani imani  imekwisha! Ikiwa inakaribia miezi miwili tangu kifo cha msanii wa filamu Bongo, Rachel Leo Haule, vitu vya kutisha vinavyoashiria mambo ya uchawi vimekutwa juu ya kaburi lake, Kinondoni jijini Dar. Tunguli za kichawi zikiwa juu ya kaburi la Marehemu Recho Haule. Tukio hilo…

 

10 years ago

GPL

SHEHE AFIA KABURINI AKIZIKA

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya
Aliyekuwa Shehe Mkuu wa Bakwata Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo amefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita  kufuatia kuanguka ghafla makaburini wakati akitoa mawaidha ya Kiislam ya jinsi waumini wanavyotakiwa kuishi katika ulimwengu wa dhambi! Inauma sana! Shehe aliyefariki akizika. Tukio hilo lililowaacha watu na machozi lilijiri katika Makaburi ya Nonde jijini hapa wakati wa mazishi ya...

 

9 years ago

GPL

‘ELFU 60 TU ZINANIPELEKA KABURINI’

Emakulata John akiugulia. Aeleza alivyoanza kuugua hadi alipo sasa Na Haruni Sanchawa MWANAMKE mmoja, Emakulata John, 28, amekuwa akiugua kwa miaka zaidi ya kumi bila msaada wowote wa uhakika wa kitabibu na hali yake kwa sasa ni mbaya, hivyo kuwalilia Watanzania ili waweze kuokoa maisha yake. Hivi sasa Emakulata hasikii, haoni vizuri wala hawezi  kutembea kutokana na maradhi yaliyomuandama kwa kipindi kirefu sasa na...

 

11 years ago

GPL

NUH MZIWANDA: NITAKWENDA KABURINI NA TATTOO YA SHILOLE

Nuhu Mziwanda akiwa na mpenzi wake Zuwena Mohamed 'Shilole'. Nuhu Mziwanda akiwa amejichora Tattoo yenye jina la mpenzi wake, Shilole ikiwa imeandikwa ‘ShiShiBaby’. Juzi, Nuhu Mziwanda alipost picha kwenye Instagram ikionesha Tattoo…

 

10 years ago

GPL

ALBINO WAANGUA KILIO KABURINI KWA NYERERE

Gabriel Ng’osha
WATU wenye ulemavu wa ngozi, ambao ni wanachama wa Chama cha Maalbino Mkoa wa Mwanza, wakiwa na wanaharakati wengine, mwishoni mwa wiki iliyopita walitembea kwa miguu kutoka jijini humo hadi Butiama, liliko kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuangua kilio cha nguvu, wakilalamika kutotendewa haki ndani ya nchi aliyoiacha salama. Walemavu hao wa ngozi wakilia mbele ya kaburi la Baba wa...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA

Stori: Musa Mateja
INAWEZEKANA ilikuwa utani? Au ‘waliamka’ nazo?! Kweli binadamu anaweza kuvunjika mbavu (kicheko) juu ya kaburi la mpendwa wake? Mh! Mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake, Aunt Ezekiel wakiangusha kicheko katika kaburi la marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Lakini imetokea! Wakati dunia ikisherehekea ujio wa mwaka mpya wa 2015, mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake,...

 

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY... LULU AONGOZA VILIO KABURINI

Stori: Waandishi Wetu R.I.P Kanumba! Ikiwa imepita miaka miwili au siku 730 tangu aliyekuwa mwigizaji nambari wani Bongo, Steven Kanumba ‘The Great’ afariki dunia, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejikuta akiongoza kwa kumwaga machozi.
Elizabeth Michael ,'Lulu'akilia kwa majonzi juu ya kaburi la Kanumba. Katika kumbukumbu ya marehemu Kanumba Aprili 7, mwaka huu, wadau na wasanii...

 

9 years ago

GPL

WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!

Gabriel Ng’osha Tunakukumbuka Mwalimu! Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupitia Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao, amejikuta akimwaga chozi kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.  Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tukio hilo lilijiri wikiendi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani