Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALBINO WAANGUA KILIO KABURINI KWA NYERERE

Gabriel Ng’osha
WATU wenye ulemavu wa ngozi, ambao ni wanachama wa Chama cha Maalbino Mkoa wa Mwanza, wakiwa na wanaharakati wengine, mwishoni mwa wiki iliyopita walitembea kwa miguu kutoka jijini humo hadi Butiama, liliko kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuangua kilio cha nguvu, wakilalamika kutotendewa haki ndani ya nchi aliyoiacha salama. Walemavu hao wa ngozi wakilia mbele ya kaburi la Baba wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wakulima waangua kilio mahakamani

Wakulima 155 wa eneo lililo karibu na shamba na Mwekezaji wa Kapunga ya Rice Project, jana walidondosha machozi nje ya Mahakama ya Mkoa wa Mbeya baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali kesi yao dhidi ya wafanyakazi watatu wa Kampuni ya Kapunga.

 

9 years ago

GPL

WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!

Gabriel Ng’osha Tunakukumbuka Mwalimu! Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupitia Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao, amejikuta akimwaga chozi kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.  Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tukio hilo lilijiri wikiendi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha Albino Tanzania

Kisiwa cha Ukerewa ni hifadhi kwa Albino ambao maisha yao yamo hatarin kutokana na imani potovu kwamba viungo vya Albino vinaleta utajiri

 

11 years ago

GPL

UCHAWI KABURINI KWA RECHO

Richard bukos na ISSA MNALLY AMA kweli duniani imani  imekwisha! Ikiwa inakaribia miezi miwili tangu kifo cha msanii wa filamu Bongo, Rachel Leo Haule, vitu vya kutisha vinavyoashiria mambo ya uchawi vimekutwa juu ya kaburi lake, Kinondoni jijini Dar. Tunguli za kichawi zikiwa juu ya kaburi la Marehemu Recho Haule. Tukio hilo…

 

11 years ago

GPL

PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Ooo…Nooo! Wakati hati ya kifo cha aliyekuwa rapa bora Bongo, marehemu Albert Keneth Mangweha ‘Ngwea’, ikiendelea kushikiliwa nchini Afrika Kusini alikokutwa na umauti mwaka jana, kwenye kaburi lake kumekutwa tunguli zilizozungushiwa sanda, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, Kihonda mkoani Morogoro, Octavian Msimbe...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA

Stori: Musa Mateja
INAWEZEKANA ilikuwa utani? Au ‘waliamka’ nazo?! Kweli binadamu anaweza kuvunjika mbavu (kicheko) juu ya kaburi la mpendwa wake? Mh! Mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake, Aunt Ezekiel wakiangusha kicheko katika kaburi la marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Lakini imetokea! Wakati dunia ikisherehekea ujio wa mwaka mpya wa 2015, mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake,...

 

10 years ago

GPL

WEMA AFUNGA MWAKA KWA KILIO!

Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema
OHOOOO! Wakati pazia la mwaka 2014 likifungwa leo, mama la mama, Wema Sepetu ‘Madam’ ameuaga mwaka huo kwa staili ya kilio cha nguvu, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo hatua kwa hatua. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam akilia huku akibembelezwa na shost yake Aunt Ezekiel. NI KWENYE SHOO YAKE
Tukio hilo lililozua maswali mengi bila majibu,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio na majonzi kwa waliouawa Mandera

Familia za wachimba machimbo ya kokoto waliouawa na Al Shabaab mjini Mandera leo waliwapokea wapendwa wao baada ya miili yao kufikishwa chumba cha kuhifadhi maiti cha City mjini Nairobi

 

9 years ago

Mwananchi

Yafaa kutafakari kilio cha TLS kwa Ma-DC

Juzi, Chama cha Wanasheria (TLS) kilitoa tamko la kulaani vitendo vinavyozidi kuongezeka vya wakuu wa wilaya dhidi ya watumishi wa Serikali au wananchi wa maeneo yaliyo chini yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani