Yafaa kutafakari kilio cha TLS kwa Ma-DC
Juzi, Chama cha Wanasheria (TLS) kilitoa tamko la kulaani vitendo vinavyozidi kuongezeka vya wakuu wa wilaya dhidi ya watumishi wa Serikali au wananchi wa maeneo yaliyo chini yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kilio cha wanaharakati kwa Bunge la Katiba
Mtandao wa wanaotetea Haki za Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, (THRDc) umekutana na wanahabari mjini Dodoma na baadaye wajunge wa Bunge la Katiba kuelimisha na kubadilishana uzoefu juu ya haki za kundi hilo la jamii kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba.
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Serikali yasikia kilio cha ajira kwa vijana
Vijana zaidi ya 1,000 kutoka katika vikundi 36 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanatarajiwa kupewa maeneo ya kilimo na Serikali ili kuwainua kiuchumi.
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Kilio hiki cha Nida ni fedheha kwa Serikali
Kilio cha sasa cha Wakala wa Vitambulisho vya Taifa (Nida) kwamba hawana fedha wala wafanyakazi wa kutosha, siyo kipya kwenye masikio ya Watanzania.Â
10 years ago
Mwananchi09 Jul
Kilio cha sekta binafsi ni ukosefu wa mikopo kwa ajili ya biashara
Watanzania wangependa kushiriki katika miradi mikubwa ya biashara lakini kikwazo kikubwa kimekuwa upatikanaji wa mitaji.
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Tuanze 2014 kwa kutafakari mwelekeo wa Taifa letu
Mwaka 2013 ulimalizika jana tukishuhudia mambo mengi hasa katika ulingo wa siasa. Nimejaribu kueleza baadhi ya mambo yaliyotokea katika makala zangu zilizopita.
10 years ago
MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Kilio cha Albino Tanzania
Kisiwa cha Ukerewa ni hifadhi kwa Albino ambao maisha yao yamo hatarin kutokana na imani potovu kwamba viungo vya Albino vinaleta utajiri
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania