Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAWI KABURINI KWA RECHO

Richard bukos na ISSA MNALLY AMA kweli duniani imani  imekwisha! Ikiwa inakaribia miezi miwili tangu kifo cha msanii wa filamu Bongo, Rachel Leo Haule, vitu vya kutisha vinavyoashiria mambo ya uchawi vimekutwa juu ya kaburi lake, Kinondoni jijini Dar. Tunguli za kichawi zikiwa juu ya kaburi la Marehemu Recho Haule. Tukio hilo…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMWAGA CHOZI KABURINI KWA NYERERE!

Gabriel Ng’osha Tunakukumbuka Mwalimu! Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupitia Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao, amejikuta akimwaga chozi kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.  Beautiful Onyinye kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tukio hilo lilijiri wikiendi...

 

10 years ago

GPL

ALBINO WAANGUA KILIO KABURINI KWA NYERERE

Gabriel Ng’osha
WATU wenye ulemavu wa ngozi, ambao ni wanachama wa Chama cha Maalbino Mkoa wa Mwanza, wakiwa na wanaharakati wengine, mwishoni mwa wiki iliyopita walitembea kwa miguu kutoka jijini humo hadi Butiama, liliko kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuangua kilio cha nguvu, wakilalamika kutotendewa haki ndani ya nchi aliyoiacha salama. Walemavu hao wa ngozi wakilia mbele ya kaburi la Baba wa...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA

Stori: Musa Mateja
INAWEZEKANA ilikuwa utani? Au ‘waliamka’ nazo?! Kweli binadamu anaweza kuvunjika mbavu (kicheko) juu ya kaburi la mpendwa wake? Mh! Mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake, Aunt Ezekiel wakiangusha kicheko katika kaburi la marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Lakini imetokea! Wakati dunia ikisherehekea ujio wa mwaka mpya wa 2015, mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake,...

 

11 years ago

GPL

PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Ooo…Nooo! Wakati hati ya kifo cha aliyekuwa rapa bora Bongo, marehemu Albert Keneth Mangweha ‘Ngwea’, ikiendelea kushikiliwa nchini Afrika Kusini alikokutwa na umauti mwaka jana, kwenye kaburi lake kumekutwa tunguli zilizozungushiwa sanda, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, Kihonda mkoani Morogoro, Octavian Msimbe...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?


Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...

 

11 years ago

GPL

WATU 7 WAUAWA KWA TUHUMA ZA UCHAWI

Muonekano wa Kigoma (Picha na maktaba). Polisi nchii Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi huko Kigoma, polisi wawatia mbaroni watu 20 kuhusika na tukio hilo. Nyumba za marehemu hao pia zinaripotiwa pia kuchomwa. Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema zaidi ya watu 500 hasa wazee huawa nchini Tanzania kila mwaka kwa kudhaniwa kuwa ni wachawi. (CREDIT: BBC SWAHILI) ...

 

11 years ago

GPL

AJALI, VIFO KWA WAIMBA INJILI UCHAWI WATAJWA

Gladness Mallya na Chande Abdallah
KUTOKANA na ajali na vifo kwa muziki wa Injili vilivyotokea hivi karibuni, imedaiwa kuwa baadhi vimetokana na uchawi.Baada ya kuzagaa kwa habari hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Rais wa Chama cha Muziki wa Injili, Addo Novemba ambapo alikiri kuwa kweli uchawi upo na unahusika. Rais wa Chama cha Muziki wa Injili, Addo Novemba. “Kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo, hili la uchawi...

 

11 years ago

Mwananchi

Asimulia anavyoishi kama mkimbizi kwa tuhuma za uchawi

>Walioko magerezani si kwamba wote walitenda makosa,lakini pia wanauawa kwa sura za kishirikina si kwamba wote ni wachawi, bali watu hutenda unyama huo kwa kutimiza matakwa yao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani