WATU 7 WAUAWA KWA TUHUMA ZA UCHAWI
![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlRmf6hZXDW0k0ItR5lixziJpiAdXZGFg7fZEQYz5HwlcOMuqYlOjzKNEh*LUJ10aVLsuTqoTimGxzYV-ozM617e/marketinkigoma.jpg?width=650)
Muonekano wa Kigoma (Picha na maktaba). Polisi nchii Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi huko Kigoma, polisi wawatia mbaroni watu 20 kuhusika na tukio hilo. Nyumba za marehemu hao pia zinaripotiwa pia kuchomwa. Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema zaidi ya watu 500 hasa wazee huawa nchini Tanzania kila mwaka kwa kudhaniwa kuwa ni wachawi. (CREDIT: BBC SWAHILI) ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 May
Asimulia anavyoishi kama mkimbizi kwa tuhuma za uchawi
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wanne wauawa kwa tuhuma za wizi
WATU wanne wameuawa kwa kupigwa marungu, kuchomwa mikuki na miili yao kuteketezwa kwa moto wilayani Sengerema, Mwanza wakituhumiwa kuwa wezi. Watu hao huku wawili kati yao ni ndugu, waliuawa na...
11 years ago
Habarileo03 Feb
Wauawa kwa tuhuma ya kuzuia mvua kunyesha
WATU wawili wa familia moja wameuawa wilayani Maswa mkoani Simiyu, kwa kupigwa na wananchi waliojichukulia sheria mikononi, wakiwatuhumu kuzuia mvua kunyesha hivyo kusababisha ukame kwenye eneo lao.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto
9 years ago
StarTV03 Nov
Watu wanne wauawa kwa kucharangwa kwa mapanga.
Watu wanne wamekutwa wameuawa katika kijiji cha Katoma wilayani Bukoba, miili yao ikiwa imecharangwa kwa mapanga na watu wasiofahamika .
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna MSAIDIZI Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba hadi sasa watu waliohusika na mauaji hayo bado hawajatiwa mbaroni.
Matukio hayo yametokea katika kijiji cha Katoma wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo jumla ya watu wanne wameuawa katika maeneo mawili...
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Watu 30 wauawa kwa mabomu ,Yemen
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini
Magari yakiungua wakati wa mlipuko huo.
Borno, Nigeria
WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria baada ya bomu kulipuka msikitini leo.
Kwa mujibu wa gazeti la Premium Times, wengi wa waliouawa wanaaminika ni wakazi wa eneo hilo ambao walikuwa wamekusanyika katika msikitu huo kufuatia uvumi kwamba kulikuwa na bomu lililokuwa limeachwa humo.
“Sijaona kitu cha kipumbavu kama hiki ambapo watu waliingia katika msikiti kuchunguza iwapo kweli kulikuwa na bomu. ...
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Watu 18 wauawa kwa mashambulizi Nigeria