Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima waangua kilio mahakamani

Wakulima 155 wa eneo lililo karibu na shamba na Mwekezaji wa Kapunga ya Rice Project, jana walidondosha machozi nje ya Mahakama ya Mkoa wa Mbeya baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali kesi yao dhidi ya wafanyakazi watatu wa Kampuni ya Kapunga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALBINO WAANGUA KILIO KABURINI KWA NYERERE

Gabriel Ng’osha
WATU wenye ulemavu wa ngozi, ambao ni wanachama wa Chama cha Maalbino Mkoa wa Mwanza, wakiwa na wanaharakati wengine, mwishoni mwa wiki iliyopita walitembea kwa miguu kutoka jijini humo hadi Butiama, liliko kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuangua kilio cha nguvu, wakilalamika kutotendewa haki ndani ya nchi aliyoiacha salama. Walemavu hao wa ngozi wakilia mbele ya kaburi la Baba wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wahoji kilio cha Pistorius mahakamani

Upande wa mashitaka katika kesi ya mauaji dhidi ya Oscar Pistorius, umehoji kilio chake ukisema kuwa anataka tu kuhurumiwa.

 

11 years ago

GPL

BIBI ALIYENASWA NA MADAWA YA KULEVYA AANGUA KILIO MAHAKAMANI

Bibi wa Kinigeria, Olabisi Ibidun Cole akipelekwa mahakamani. BIBI wa Kinigeria, Olabisi Ibidun Cole (65), leo ameangua kilio katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ers Salaam wakati akipelekwa kizimbani kwa ajili ya kusomewa kesi yake ya kunaswa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 37. Hakimu aliyepelekewa kesi hiyo, Frank Mushi, aliiahirisha kesi hiyo mpaka kesho ili bibi huyo ambaye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha wakulima wa Karafuu Pemba

Wakulima wa karafuu sasa wanasema wanahitaji serikali yao kuwasaidia zaidi ili kuweza kuendeleza kilimo cha zao hilo walilolima kwa miaka mingi.

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima Bariadi watoa kilio chao

WAKULIMA wa kijiji ha Nhobora wilayani Bariadi mkoani Simiyu wameiomba serikali kumwendeleza kielimu mkulima mwezeshaji wao, kwani amekuwa akiwasaidia kuwaelimisha juu ya kilimo bora, ukilinganisha na bwana shamba, ambaye amekuwa akionekana kijijini hapo mara mbili kwa mwaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isikilize kilio cha wakulima wa pamba

Juni 18 mwaka huu, Bodi ya Pamba (TCB) ilitangaza kuanza kwa msimu mpya wa uvunaji wa zao hilo, sambamba na kutangaza bei mpya kwa msimu wa mwaka 2014/15 kwa wakulima kutoka Kanda ya Ziwa.

 

11 years ago

Michuzi

madaktari walalamikia kutokamilika kwa miradi ya ujenzi vituo vya afya kwa wakati,wakulima wa tumbaku waangusha kilio chao mbele ya Kinana wilayani sikonge

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la upasuaji na Dk.Sylvanus Kabutura Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Kata ya Kitunda wilayani Sikonge,Daktari Kabutura  alimueleza Katibu Mkuu wa CCM changamoto kubwa uhaba wa maji katika kituo hicho,na pia kutokamilika kwa jengo kubwa la huduma za upasuaji na huduma nyingine zaidi ya mwaka,jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana hakufurahishwa nalo,kwani kumekuwepo na malalamiko makubwa kutoka kwa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani