PADRI WA HISPANIA AFARIKI KWA EBOLA
![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsul2Ii3OYsp9i6mZk1NSrNhR80EcFnHT09Mdnbd37-bposwW788HKGjYAEEkwTnna0J3f-ofWSaagfALNQS3UO1U/padri.jpg)
Padri Miguel enzi za uhai wake. PADRI raia wa Hispania, Miguel Pajares, 75, aliyeambukizwa virusi vya Ebola wakati akifanya kazi Afrika Magharibi amefariki dunia akiwa hospitalini mjini Madrid. Padri Miguel alikuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Mtakatifu Joseph iliyopo mjini Monrovia, Liberia. Alisafirishwa kwenda Hispania kutoka Liberia wiki iliyopita akiwa na mtawa mmoja ambaye naye aliponea chupuchupu kuambukizwa homa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Nov
Padri aliyekuwa akitafutwa kwa kulawiti mtoto afariki
MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekuwa akitafutwa na Mahakama ya Rufaa, Sixtus Kimaro, ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amefia nchini Msumbiji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar es Salaam.
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Ebola; ni homa ya Hispania? (2)
KATIKA makala iliyopita tuliona nini maana ya ugonjwa wa Ebola, dalili zake na inavyoambukiza. Pia ugonjwa huo unavyoua haraka, kama ilivyokuwa kwa homa ya Hispania iliyojitokeza zaidi ya miaka ya...
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mgonjwa Ebola abainika Hispania
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Ebola:Hispania yafanya uchunguzi
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Ebola:Muuguzi Hispania alijigusa uso
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 […]
The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3…
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na […]
The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3… appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMkQucAeEyjY3zoNF5Wp07cge*gWNm*v8Uet2PGtQabxLpnPQdTE1HRC7fgssuCAh7gpX0vAshSqfK-4YpQF5Oeg/ngweacopy.jpg?width=650)
PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.
Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...