Ebola:Muuguzi Hispania alijigusa uso
Daktari mjini Madrid Uhispania, anasema muuguzi aliyeambukizwa Ebola amesema kuwa aligusa uso wake baada ya kumtibu kasisi aliyefariki kutokana na ugonjwa huo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Oct
Muuguzi mwingine ana Ebola Marekani
Mhudumu mwingine wa afya mwenye umri wa miaka 26 nchini Marekani amepatikana na ugonjwa wa Ebola katika jimbo la Texas.
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ebola Marekani:Muuguzi apinga karantini
Muuguzi wa Marekani, ambaye alikuwa akihudumia wagonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone, amepinga kuwekwa karantini
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ebola:Muuguzi atishia kuvunja karantini
Muuguzi aliyewekwa chini ya karantini alipotoka kuwatibu wagonjwa nchini Sierra Leone ametishia kutoka nyumbani kwake.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Muuguzi apata nafuu maambukizo ya Ebola
Muuguzi kutoka Scotland aliyeugua virusi vya Ebola amepata nafuu.
11 years ago
BBCSwahili07 Oct
Ebola:Hispania yafanya uchunguzi
Tume ya Ulaya umeitaka Hispania kueleza ambavyo muuguzi aliambukizwa Ebola mjini Madrid na kuwa mtu wa kwanza kuugua ugonjwa huo
11 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Ebola; ni homa ya Hispania? (2)
KATIKA makala iliyopita tuliona nini maana ya ugonjwa wa Ebola, dalili zake na inavyoambukiza. Pia ugonjwa huo unavyoua haraka, kama ilivyokuwa kwa homa ya Hispania iliyojitokeza zaidi ya miaka ya...
11 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mgonjwa Ebola abainika Hispania
Uchunguzi unaendelea nchini Hispania ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Ebola baada ya mgonjwa wa kwanza kubainika.
11 years ago
GPL
PADRI WA HISPANIA AFARIKI KWA EBOLA
Padri Miguel enzi za uhai wake. PADRI raia wa Hispania, Miguel Pajares, 75, aliyeambukizwa virusi vya Ebola wakati akifanya kazi Afrika Magharibi amefariki dunia akiwa hospitalini mjini Madrid. Padri Miguel alikuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Mtakatifu Joseph iliyopo mjini Monrovia, Liberia.
Alisafirishwa kwenda Hispania kutoka Liberia wiki iliyopita akiwa na mtawa mmoja ambaye naye aliponea chupuchupu kuambukizwa homa...
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania