Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola:Hispania yafanya uchunguzi

Tume ya Ulaya umeitaka Hispania kueleza ambavyo muuguzi aliambukizwa Ebola mjini Madrid na kuwa mtu wa kwanza kuugua ugonjwa huo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Ebola; ni homa ya Hispania? (2)

KATIKA makala iliyopita tuliona nini maana ya ugonjwa wa Ebola, dalili zake na inavyoambukiza. Pia ugonjwa huo unavyoua haraka, kama ilivyokuwa kwa homa ya Hispania iliyojitokeza zaidi  ya miaka ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgonjwa Ebola abainika Hispania

Uchunguzi unaendelea nchini Hispania ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Ebola baada ya mgonjwa wa kwanza kubainika.

 

11 years ago

GPL

PADRI WA HISPANIA AFARIKI KWA EBOLA

Padri Miguel enzi za uhai wake. PADRI raia wa Hispania, Miguel Pajares, 75, aliyeambukizwa virusi vya Ebola wakati akifanya kazi Afrika Magharibi amefariki dunia akiwa hospitalini mjini Madrid. Padri Miguel alikuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Mtakatifu Joseph iliyopo mjini Monrovia, Liberia.
Alisafirishwa kwenda Hispania kutoka Liberia wiki iliyopita akiwa na mtawa mmoja ambaye naye aliponea chupuchupu kuambukizwa homa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Muuguzi Hispania alijigusa uso

Daktari mjini Madrid Uhispania, anasema muuguzi aliyeambukizwa Ebola amesema kuwa aligusa uso wake baada ya kumtibu kasisi aliyefariki kutokana na ugonjwa huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yafanya Senegal kufunga mpaka

Senegal yafunga mpaka wake na Guinea ambako Ebola imeuwa watu kadha

 

10 years ago

BBCSwahili

Hispania kidedea

Harakati za kwenye michuano ya soka ya mataifa bara la Ulaya ziliendelea tena usiku wa kuamkia leo

 

11 years ago

Mwananchi

Bale: Soka la Hispania linatisha

Winga wa Real Madrid, Gareth Bale amesifu kiwango cha juu cha ufundi cha uchezaji wa soka wa La Liga kulinganisha na England, ikiwa ni miezi sita tu tangu alipojiunga na vigogo hao wa Hispania.

 

11 years ago

Mwananchi

Hispania yaweka rekodi mpya

Rio de Janeiro, Brazil. Hispania imeingia katika orodha mbaya ya kihistoria ya kuwa timu ya tano bingwa kuondolewa mapema katika fainali za Kombe la Dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashindano ya mpira wa vikapu Hispania

Hispania watapambana na Ufaransa huku Brazil ikikutana na Serbia kwenye mechi za robo fainali kombe la dunia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani