Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola yafanya Senegal kufunga mpaka

Senegal yafunga mpaka wake na Guinea ambako Ebola imeuwa watu kadha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BIASHARA KUENDELEA TUNDUMA LICHA YA ZAMBIA KUFUNGA MPAKA


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza na Wananchi katika eneo la Tunduma mapema leo ambapo amewataka kuendelea na shughuli za kiuchumi licha ya Zambia Kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.

Wafanyabiashara wa Tunduma wakiendelea na shughuli mbalimbali za Kiuchumi kama serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyo waelekeza licha ya Zambia kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.

******************************

Wafanyabiashara wametakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU LIBE YAFANYA MNUSO WA KUFUNGA MWAKA KWA WABONGO WPTE

Libe Mwang'ombe katika picha yeye na timu yake wamefanya mnuso wa kufunga mwaka kwa Wabongo wote waishio DMV siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 Bowie, Maryland nchini Marekani.Wakina dada wakipata picha ya pamoja kulia ni Muna aliyekua kampeni Meneja wa timu Libe.Dj Dave akifanya vitu vyake huku akisaidia na Dj MO (hayupo pichani)Aunty Baybe Mgaza katika pichaRumba likiendelea.Omby kampeni meneja msaidizi wa timu Libe.Eric Bahunde akiwemo ndani ya nyumba.Dj MO katika picha ya pamoja na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa muda kuanzia Jumatatu

Serikali ya Zambia imeamrisha kufungwa kwa mpake wake na Tanzania kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona kuanzia kesho Jumatatu tarehe 11 mwezi Mei 2020.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali ya Tanzania yajibu hatua ya Kenya kufunga mpaka wake na taifa hilo

Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kuingia nchini humo , siku moja tu baada ya rais Uhuru Kenyatta kufunga mpaka wa Kenya na Tanzania.

 

11 years ago

GPL

KIOJA CHA KUFUNGA MWAKA: JAMAA APANDA JUU YA MNARA, AKATAA KUSHUKA MPAKA AONANE NA RAIS KIKWETE

Wanausalama wakipanda juu ya mnara kumnusuru jamaa huyo.…

 

10 years ago

BBC

Nigeria and Senegal 'contain' Ebola

Ebola outbreaks in Nigeria and Senegal appear to have been contained, US health authorities say, with no new cases there since August.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatua Senegal

Waziri wa Afya wa Senegal amethibitisha kua ugonjwa wa Ebola umekwisha tua nchini mwake .

 

10 years ago

BBC

Senegal confirms first Ebola case

Senegal's health ministry confirms a first case of Ebola, making it the fifth west African country now affected by the outbreak.

 

10 years ago

BBC

Senegal closes border over Ebola

Senegal closes its border with Guinea because of the deadly Ebola outbreak, despite WHO warnings that such measures are counter-productive.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani