Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIASHARA KUENDELEA TUNDUMA LICHA YA ZAMBIA KUFUNGA MPAKA


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza na Wananchi katika eneo la Tunduma mapema leo ambapo amewataka kuendelea na shughuli za kiuchumi licha ya Zambia Kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.

Wafanyabiashara wa Tunduma wakiendelea na shughuli mbalimbali za Kiuchumi kama serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyo waelekeza licha ya Zambia kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.

******************************

Wafanyabiashara wametakiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa muda kuanzia Jumatatu

Serikali ya Zambia imeamrisha kufungwa kwa mpake wake na Tanzania kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona kuanzia kesho Jumatatu tarehe 11 mwezi Mei 2020.

 

5 years ago

Michuzi

WASAFIRI WATAKAOPITA MPAKA WA TUNDUMA KUWEKWA KARANTINI SIKU 14


Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Songwe imeanza utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli la kuwataka wasafiri waliotoka katika nchi zenye maambukizi ya Virusi vya Corona kukaa karantini kwa muda wa siku 14 kwa gharama zao.

Mapema leo wajumbe wa Kamati hiyo wametembelea eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia uliopo eneo la Tunduma Mkoani Songwe ili kutathmini utayari wa kuanza zoezi la kuwaweka eneo tengefu yaani karantini wasafiri wote...

 

10 years ago

Mwananchi

Faida za vikao vya Tanzania, Zambia kuhusu Tunduma zionekane

Maofisa wapatao 100 wa Tanzania na Zambia walikutana jijini Mbeya wiki iliyopita, kujadili utekelezaji wa mikakati ya kuboresha ufanisi katika vituo vya Tunduma na Nakonde kwa manufaa ya uchumi wa nchi husika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yafanya Senegal kufunga mpaka

Senegal yafunga mpaka wake na Guinea ambako Ebola imeuwa watu kadha

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Maharusi wamekamatwa Afrika Kusini kwa kufunga ndoa licha ya amri ya kutotoka nje

Magari ya polisi wala sio magari ya kubebea maharusi yapokea waliofunga ndoa kwa kupuuza marufuku ya kukusanyika.

 

9 years ago

Habarileo

TMA: El-Nino kuendelea mpaka Aprili mwakani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA), imeendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi mikoa ya Kanda za Ziwa, Kusini na Pwani, kwamba mvua za Vuli zitakazofikia ukubwa wa El-Nino, zinatarajiwa kuendelea kunyesha mpaka Aprili mwakani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali ya Tanzania yajibu hatua ya Kenya kufunga mpaka wake na taifa hilo

Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kuingia nchini humo , siku moja tu baada ya rais Uhuru Kenyatta kufunga mpaka wa Kenya na Tanzania.

 

11 years ago

GPL

KIOJA CHA KUFUNGA MWAKA: JAMAA APANDA JUU YA MNARA, AKATAA KUSHUKA MPAKA AONANE NA RAIS KIKWETE

Wanausalama wakipanda juu ya mnara kumnusuru jamaa huyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani