Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faida za vikao vya Tanzania, Zambia kuhusu Tunduma zionekane

Maofisa wapatao 100 wa Tanzania na Zambia walikutana jijini Mbeya wiki iliyopita, kujadili utekelezaji wa mikakati ya kuboresha ufanisi katika vituo vya Tunduma na Nakonde kwa manufaa ya uchumi wa nchi husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

 

5 years ago

Michuzi

BIASHARA KUENDELEA TUNDUMA LICHA YA ZAMBIA KUFUNGA MPAKA


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza na Wananchi katika eneo la Tunduma mapema leo ambapo amewataka kuendelea na shughuli za kiuchumi licha ya Zambia Kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.

Wafanyabiashara wa Tunduma wakiendelea na shughuli mbalimbali za Kiuchumi kama serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyo waelekeza licha ya Zambia kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.

******************************

Wafanyabiashara wametakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa muda kuanzia Jumatatu

Serikali ya Zambia imeamrisha kufungwa kwa mpake wake na Tanzania kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona kuanzia kesho Jumatatu tarehe 11 mwezi Mei 2020.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani