WASAFIRI WATAKAOPITA MPAKA WA TUNDUMA KUWEKWA KARANTINI SIKU 14
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Songwe imeanza utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli la kuwataka wasafiri waliotoka katika nchi zenye maambukizi ya Virusi vya Corona kukaa karantini kwa muda wa siku 14 kwa gharama zao.
Mapema leo wajumbe wa Kamati hiyo wametembelea eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia uliopo eneo la Tunduma Mkoani Songwe ili kutathmini utayari wa kuanza zoezi la kuwaweka eneo tengefu yaani karantini wasafiri wote...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-99_-Vi-PPLI/XpnMHd7QzPI/AAAAAAALnQg/fLthvALXmdUfaOtoq0Km50HbLEstiFXBwCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-B-1.jpg)
HATUTAWAWEKA KARANTINI WASAFIRI WA NDANI YA NCHI: RC MTAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-99_-Vi-PPLI/XpnMHd7QzPI/AAAAAAALnQg/fLthvALXmdUfaOtoq0Km50HbLEstiFXBwCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-B-1.jpg)
Mtalaam wa Afya akipuliza dawa katika gari linalofanya safari zake kutoka Bariadi Mkoani Simiyukwenda jijini Dar es Salaam leo Aprili 17, 2020 wakati wa kuhamasisha zoezi endelevu la upuliziaji dawa katika magari ya abiria ambalo limekuwa likifanyika katika kituo cha Mabasi cha Somanda Mjini Bariadi na Vituo vingine ikiwa ni moja ya jitihada za kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/PICHA-A-1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-j3S6rO7SF_w/XonunN3WRWI/AAAAAAALmEs/xhaHgCK_jrIHGRdExrXFGSOuDsXdqTN2wCLcBGAsYHQ/s72-c/C6Y4mVSWAAAmRiR.jpg)
Wasafiri kutoka nje ya nchi kupelekwa karantini Hosteli za Magufuli
![](https://1.bp.blogspot.com/-j3S6rO7SF_w/XonunN3WRWI/AAAAAAALmEs/xhaHgCK_jrIHGRdExrXFGSOuDsXdqTN2wCLcBGAsYHQ/s640/C6Y4mVSWAAAmRiR.jpg)
Na WAMJW-Dar es Salaam
Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam maarufu hosteli za Magufuli.
Akizungumza katika hosteli za Magufuli, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema wasafiri hao watafikia katika hosteli za Magufuli ambazo zipo katika eneo la Ubungo Jijini Dar es Salaam.
“Lengo ni...
5 years ago
CCM BlogMKUU WA MKOA SIMIYU: HATUTAWAWEKA KARANTINI WASAFIRI WA NDANI YA NCHI
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Maeneo yenye Mnyauko Kagera kuwekwa karantini
MKOA wa Kagera umetangaza kuyaweka chini ya karantini maeneo ya mkoa huo yaliyoathirika na yatakayoathirika na ugonjwa wa migomba (Mnyauko Backeria). Mkaguzi wa Mimea na Mazao Mkoa wa Kagera, Kagombora...
5 years ago
BBCSwahili10 May
Uchaguzi Burundi: Wachunguzi wa kimataifa kuwekwa karantini
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya corona: Mkenya aelezea hofu ya kuwekwa karantini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BRgegFYoxxQ/XrpCsEiIJHI/AAAAAAALp2Y/3EDtkw9fBJ8yLqf1F41az1WLHWqB44PGQCLcBGAsYHQ/s72-c/1..jpg)
BIASHARA KUENDELEA TUNDUMA LICHA YA ZAMBIA KUFUNGA MPAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-BRgegFYoxxQ/XrpCsEiIJHI/AAAAAAALp2Y/3EDtkw9fBJ8yLqf1F41az1WLHWqB44PGQCLcBGAsYHQ/s640/1..jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akizungumza na Wananchi katika eneo la Tunduma mapema leo ambapo amewataka kuendelea na shughuli za kiuchumi licha ya Zambia Kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/4..jpg)
Wafanyabiashara wa Tunduma wakiendelea na shughuli mbalimbali za Kiuchumi kama serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyo waelekeza licha ya Zambia kufunga Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Nakonde.
******************************
Wafanyabiashara wametakiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/mdwNzu4ujBk/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Lowassa: Nitaondoa foleni Tunduma siku 21