TIMU LIBE YAFANYA MNUSO WA KUFUNGA MWAKA KWA WABONGO WPTE
Libe Mwang'ombe katika picha yeye na timu yake wamefanya mnuso wa kufunga mwaka kwa Wabongo wote waishio DMV siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 Bowie, Maryland nchini Marekani.
Wakina dada wakipata picha ya pamoja kulia ni Muna aliyekua kampeni Meneja wa timu Libe.
Dj Dave akifanya vitu vyake huku akisaidia na Dj MO (hayupo pichani)
Aunty Baybe Mgaza katika picha
Rumba likiendelea.
Omby kampeni meneja msaidizi wa timu Libe.
Eric Bahunde akiwemo ndani ya nyumba.
Dj MO katika picha ya pamoja na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziUTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...
11 years ago
BBCSwahili30 Mar
Ebola yafanya Senegal kufunga mpaka
9 years ago
Bongo530 Nov
Picha: Ommy Dimpoz aanza ziara yake ya kufunga mwaka Kenya kwa kishindo
![ommy-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ommy-1-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz yuko nchini Kenya ambako weekend iliyopita ameanza ziara yake ya kufunga mwaka nchini humo, kwa kufanya show ya kwanza ambayo imekuwa ‘soldout’.
Omary Nyembo aka Mr PKP alitumbuiza siku ya Jumamosi (Nov 28) kwenye county ya Turkana karibu na mpaka wa Sudan, ambako anasema wasanii ambao hupata nafasi ya kuitwa kutumbiza huko ni wale ambao wamehit sana.
Kwenye Ziara hiyo Dimpoz anatarajia kufanya jumla ya show 7.
Hizi ni picha za show ya Turkana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci2PsMqfmmwWv1HplrfKJguHTWxHxLYte1EPMFu-T-9AHsrHB6splLKF7nfU*UtqU6dOkxkV2yjQsiJdHGFr7apj/unnamed.jpg?width=650)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015!
Staa wa muziki kutoka Nigeria Yemi Alade ni mmoja wa wasanii kutoka Africa wanaohesabika kuwa na ushawishi mkubwa kwenye soko la muziki la Africa… Nimekutana na interview moja ya Yemi Alade aliyofanya siku chache zilizopita, ndani yake staa huyo amegusia vitu vitatu vikubwa; safari yake ya muziki, sababu iliyopelekea single ya Johnny kuandikwa na mafanikio […]
The post Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MichuziKampuni ya Ageco Energy & Construction Ltd yafunga mwaka kwa Kufunga Mtambo Mkubwa wa Sola Hospitali ya Mkoa Singida.
Mtambo huu wenye uwezo wa kuendesha vifaa vyenye...
10 years ago
Michuzi24 Jan
Timu ya Arsenal yafanya mazungumzo na Kampuni ya TTCL
![Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_00201.jpg)
![Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_00081.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s72-c/unnamed.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5T5rAqwZNDw/VKPcgErb1II/AAAAAAAG6tU/ij1bYSredpE/s1600/unnamed%2B(1).jpg)