Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hispania yaweka rekodi mpya

Rio de Janeiro, Brazil. Hispania imeingia katika orodha mbaya ya kihistoria ya kuwa timu ya tano bingwa kuondolewa mapema katika fainali za Kombe la Dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ yaweka rekodi mpya ya ‘Guinness World Record’

James Bond-1

Filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imeweka rekodi mpya ya Guinness World Record kwa kuwa filamu yenye mlipuko mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya filamu (Largest Film Stunt Explosion).

James Bond-1

Waigizaji Daniel Craig, Léa Seydoux na producer Barbara Broccoli wa filamu hiyo hivi karibuni walikabidhiwa official Guinness World Records certificate baada ya filamu hiyo kuvunja rekodi hiyo.

Mlipuko huo ambao ulitengenezewa Erfoud, Morocco ulifanikishwa kwa kutumia lita 8,418 za mafuta ya taa,...

 

10 years ago

Bongo5

Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200

Album mpya ya Janet Jackson iitwayo ‘Unbreakable’ imekamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200, na kuweka rekodi ya kuwa album ya saba ya mwimbaji huyo kushika namba moja kwenye chati hizo. Album hiyo iliyotoka October 2, 2015 imeuza nakala 116,000 katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen Music. ‘Unbreakable’ ni album […]

 

9 years ago

Mwananchi

NHC yaweka rekodi ujenzi wa nyumba

Shirika la nyumba (NHC) limeweka historia kwa kujenga nyumba zaidi ya nusu ya zilizojengwa kwa miaka 50 iliyopita ndani ya kipindi cha miaka mitano tu.

 

9 years ago

Mwananchi

TRA yaweka rekodi ya Sh1.4trilioni Desemba

Serikali ya Awamu ya Tano imekusanya ziada ya Sh900 bilioni kupitia kodi katika kipindi cha miezi miwili tangu aingie madarakani.

 

10 years ago

Bongo5

Timu ya taifa ya England yaweka rekodi mechi za kufuzu Euro 2016

Timu ya taifa ya England imemaliza mechi yake ya mwisho ya hatua ya kufuzu michuano ya kombe la Euro 2016 kwa kuingia katika rekodi ya timu zilizomaliza hatua hiyo kwa mafanikio zaidi. England ilipata ushindi huo kupitia wachezaji Ross Barkley dakika ya 29, Harry Kane alifunga la pili huku Alex-Oxlade Chamberlain akipigilia msumari wa mwisho […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

9 years ago

Michuzi

Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016, Christian Bella Aweka Rekodi Mpya!

bella (69)Bella akicheza na mashabiki wakebella (71)bella (73)Shoo ikinogabella (74)Bella na mashabiki jukwaanibella (75)Mashabiki wakizidi kupagwa.PICHA NA MUSA MATEJA/GPLKwa picha zaidiBOFA HAPA pia BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika kusini yaweka sheria mpya ya watoto

Sheria mpya imeanza kutekelezwa hii leo ambapo yeyote anayenuia kusafiri na mtoto atahitaji kuambatanisha na cheti chake cha kuzaliwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkenya aweka rekodi mpya ya Marathon

Mwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani