WEMA, AUNT WALA KICHAPO
![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK7ikDh5h1*2HOAy3qvsBXZ8cldQ7B0dmD5UqCnq7-0-60kzM3o0tWxIqSzasWzMmupQVgl6T8V*EwoDuT*DLiO3/wema.jpg?width=650)
Na Imelda Mtema na Gladness Mallya KIMEWAKA! Habari zilizothibitishwa zinaeleza kuwa, sura mbili za mauzo kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kula kichapo kutoka kwa msanii mwenzao, Adam Kuambiana, Amani limeinyaka. Wema Sepetu. Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’ wetu lilijiri mchana kweupe maeneo ya Mikocheni, Dar, hivi karibuni baada ya kuibuka timbwili lenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yjgio7pFYXtSSCAq6Btcdqaxjn6Xp62zxi7YeU9HjdAQv7*JwoY268CbqD8htCIEMIBOlu-yHefBtW*kcZItlDe/FRONTJUMAMOSI.jpg?width=650)
...WALA KICHAPO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0Jjbn3g9QV-qg8Ywys3CMQ2URvfZBAnWqxF1sLE0MnqVraI079s14X7D6VccG62MblPeD6D4SqyoZLF4uiGP2iCz6C/FRONTAMANI.jpg?width=650)
WAREMBO WALA KICHAPO BAA
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Lipumba, wafuasi wake wala kichapo
Na Oliver Oswald, Dar es salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilazimika kutumia nguvu kubwa kupambana na wafusi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanaandamana katika kile kilichoelezwa kukumbuka mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Januari 26 na 27, mwaka 2001 visiwani Zanzibar.
Katika purukushani hizo, askari walimpiga kwa kutumia kitako cha bunduki na kisha kirungu, mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Hamisi Mussa, aliyekuwa anatekeleza majukumu yake ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjNGbqPiQugHzHSJUfiL0nzBDtIfD2m5KnigxtKzQovbLZ3pMFAaNvZKp3TT5BGkkWnmrspm-qQdg5zUZVYpwYUs/auntycopy.jpg?width=650)
AUNT: SITAMZIKA WEMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQKtZpfuL7-se8J4ZvLVVrurmmVag8UQCciD1vrZ4A7hM74-Ly7Cm2Znpvl9p4Zgnr8fneW1OREy-zhzKdeo1CV3/wema.jpg?width=650)
UCHAFU WA WEMA, AUNT
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm3T62WsfR2ZhnBimLyy0yekPqg-TsBpDonkiWntXfvbSC6rHHAtrOWkgWl4IdnDXWJyN4xPWz-Ud2spJSK0VTyC/AUNTY.gif?width=650)
AUNT ATIMULIWA KWA WEMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzWpSvXMSjRb2Xrxl9VIL9IOQrMJyaeijXx6wjqsPjTwlAqMZVH-GSO5QUQybmt0vuU1*D*7n-OHEZA262pF*pej/jb.jpg)
WEMA, AUNT WAMWINGIZA MKENGE JB
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDCOwK9FLVymXq3SL3hCumxTsav7mQAMt4dqGoY8oReEZt-aeC8eO*wsZ48hJ4QAoId6cwYX0zR8bXAW9jAoisUF/HIIFI.jpg?width=650)
AUNT,WEMA VILIO TUPU!
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...