Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lipumba, wafuasi wake wala kichapo

DSC_1666DSC_0073Na Oliver Oswald, Dar es salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilazimika kutumia nguvu kubwa kupambana na wafusi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanaandamana katika kile kilichoelezwa kukumbuka mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Januari 26 na 27, mwaka 2001 visiwani Zanzibar.
Katika purukushani hizo, askari walimpiga kwa kutumia kitako cha bunduki na kisha kirungu, mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Hamisi Mussa, aliyekuwa anatekeleza majukumu yake ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LIPUMBA NA WAFUASI WAKE WAPATA DHAMANA UPYA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Hamad akisalimiana na Mwenyekiti wake Prof. Lipumba baada kutoka katika chumba cha kesi. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Hamad, akishuka katika chumba cha kusikiliza kesi.…

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na wafuasi wake

Katika kikao cha Bunge siku ya jana January 28 Mbunge James Mbatia aliomba mwongozo ndani ya kikao cha Bunge kuhusu ishu iliyojitokeza juzi Dar ambapo Prof. Lipumba na baadhi ya wafuasi walikamatwa na Jeshi la Polisi.Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa majibu ya Serikali kuhusu ishu hiyo; “Mheshimiwa Mbatia jana ametoa malalamiko kuwa katika kadhia hii Polisi wametumia nguvu nyingi kuliko ilivyotakiwa, malalamiko haya ni mazito na Serikali haiwezi kuyafumbia macho, kwa hiyo pamoja na uchunguzi...

 

11 years ago

GPL

...WALA KICHAPO

Stori::Denis Mtima na Chande Abdallah Kichapo! Jamaa wawili wanaotuhumiwa kuwa wezi, nusura wauawe kwa kuchomwa moto na raia wenye hasira kali baada ya kula kichapo ‘hevi’ kwa msala wa kukwapua mkoba wa mrembo aliyekuwa ndani ya Bajaj. Kijana ambaye hakufahamika jina lake mapema amejikuta kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua mkoba kwenye bajaji Katika tukio hilo lililojiri maeneo ya...

 

11 years ago

GPL

WEMA, AUNT WALA KICHAPO

Na Imelda Mtema na Gladness Mallya
KIMEWAKA! Habari zilizothibitishwa zinaeleza kuwa, sura mbili za mauzo kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kula kichapo kutoka kwa msanii mwenzao, Adam Kuambiana, Amani limeinyaka. Wema Sepetu. Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’ wetu lilijiri mchana kweupe maeneo ya Mikocheni, Dar, hivi karibuni baada ya kuibuka timbwili lenye...

 

11 years ago

GPL

WAREMBO WALA KICHAPO BAA

Stori: Denis Mtima na Chande Abadallah
BALAA! Siku chache tu baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili ambao majina yao hayakufahamika haraka wamejikuta wakila kichapo kutoka kwa mabaunsa kufuatia kuchelewa kutoka ndani ya baa waliyokuwa wakipombeka. Akilia baada ya kula kichapo. Tukio hilo la aina yake lilijiri Agosti 5, mwaka huu katika baa hiyo mpya iliyopo Sinza ya Afrikasana jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba,wafuasi 32 wa CUF watiwa ndani Jijini Dar leo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata wananchama wa Chama cha Wananchi CUF 32 akiwemo Mwenyekiti Taifa wa chama hicho,Profesa Ibrahim Lipumba kwa kufanya maandamano ambayo si halali.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba : Sigombei ubunge Temeke wala Tabora

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana mpango wa kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Edward Lowassa alalamika wafuasi wake kuandamwa na Serkali

Aliyekua mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.Akizungumza katika ibada maalum ya kukaribisha mwaka mpya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani