Taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na wafuasi wake
Katika kikao cha Bunge siku ya jana January 28 Mbunge James Mbatia aliomba mwongozo ndani ya kikao cha Bunge kuhusu ishu iliyojitokeza juzi Dar ambapo Prof. Lipumba na baadhi ya wafuasi walikamatwa na Jeshi la Polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa majibu ya Serikali kuhusu ishu hiyo; “Mheshimiwa Mbatia jana ametoa malalamiko kuwa katika kadhia hii Polisi wametumia nguvu nyingi kuliko ilivyotakiwa, malalamiko haya ni mazito na Serikali haiwezi kuyafumbia macho, kwa hiyo pamoja na uchunguzi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL04 Feb
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Lipumba, wafuasi wake wala kichapo
Na Oliver Oswald, Dar es salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilazimika kutumia nguvu kubwa kupambana na wafusi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanaandamana katika kile kilichoelezwa kukumbuka mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Januari 26 na 27, mwaka 2001 visiwani Zanzibar.
Katika purukushani hizo, askari walimpiga kwa kutumia kitako cha bunduki na kisha kirungu, mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Hamisi Mussa, aliyekuwa anatekeleza majukumu yake ya...
10 years ago
GPLLIPUMBA NA WAFUASI WAKE WAPATA DHAMANA UPYA
10 years ago
GPLPROF LIPUMBA KIZIMBANI NA WANACHAMA WAKE
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi.
December 30 2015 Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mwenyekiti mstaafu wa chama cha Wananchi C.U.F aliyasema haya hapa chini mbele ya Waandishi wa habari Dar es salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea […]
The post Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OBVF16y-PPJ8lsovfhl7eyxfbSGQ8jvBngIjFJnV4Fxm9MVZRU6b9ganol6Wyjyshr4cM*H*cRj4BbIhK-XQsq42Box7A*fU/breakingnews.gif)
PROF. LIPUMBA NA BAADHI YA WANACHAMA WAKE WAKAMATWA NA POLISI
10 years ago
Michuzi25 Jul
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Prof Lipumba, Mbatia, Zitto waichana Serikali
10 years ago
Vijimambo28 Jan
KUKAMATWA KWA PROFESA LIPUMBA: DEMOKRASIA IKO MASHAKANI
wamenijulisha kuwa, Profesa Lipumba na Manaibu Wakurugenzi wawili wa Chama Cha Wananchi CUF (Shaweji Mketo na Abdul Kambaya), pamoja na walinzi wa Profesa Lipumba, wamekamatwa na polisi. Pia, nimeongea na mhe. Joram Bashange, Mkurugenzi wa Fedha wa CUF, tayari yuko Central Police lakini hajaruhusiwa kuwaona viongozi. Mawakili wa CUF wanaelekea polisi pia.
KUMBUKIZI YA MWAKA 2001
Ukamataji huo uliotumia nguvu kubwa...