KUKAMATWA KWA PROFESA LIPUMBA: DEMOKRASIA IKO MASHAKANI
Ndugu zangu, hivi punde nimeongea na Maharagande Mbarala na Bonifasia Mapunda
wamenijulisha kuwa, Profesa Lipumba na Manaibu Wakurugenzi wawili wa Chama Cha Wananchi CUF (Shaweji Mketo na Abdul Kambaya), pamoja na walinzi wa Profesa Lipumba, wamekamatwa na polisi. Pia, nimeongea na mhe. Joram Bashange, Mkurugenzi wa Fedha wa CUF, tayari yuko Central Police lakini hajaruhusiwa kuwaona viongozi. Mawakili wa CUF wanaelekea polisi pia.
KUMBUKIZI YA MWAKA 2001
Ukamataji huo uliotumia nguvu kubwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
UN: Demokrasia imo mashakani DR Congo
10 years ago
Vijimambo30 Jan
Taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na wafuasi wake
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/Lipumba-Under-Arrest.jpg?resize=487%2C242)
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/bunge_clip.jpg?resize=526%2C265)
10 years ago
Michuzi05 Aug
KILA MTU AJENGE CHAMA KWA NAFASI YAKE-PROFESA LIPUMBA.
![LIP1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/LIP1.jpg)
Profesa Lipumba alitakiwa kuzungumza na waandishi wa habari katika makao...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ZXGkxxLaW3I/Xp0ehfp03tI/AAAAAAAAS44/c21CLBa2VpQIKe7EUthsP5BstHvgBHcfQCLcBGAsYHQ/s72-c/49227218_303.jpg)
SERIKALI ZA KIGENI ZALAANI KUKAMATWA WANAHARAKATI WA DEMOKRASIA HONG KONG
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZXGkxxLaW3I/Xp0ehfp03tI/AAAAAAAAS44/c21CLBa2VpQIKe7EUthsP5BstHvgBHcfQCLcBGAsYHQ/s400/49227218_303.jpg)
Miongoni mwa waliokamatwa ni wanasiasa wakongwe, tajiri wa vyombo vya habari na wanasheria waandamizi. Chama cha Kimataifa cha Wanasheria kimesema maafisa wa Hong Kong hawapaswi kukiuka haki za binaadamu na mfumo wa kisheria lazima uweke ulinzi dhidi ya ukiukaji wowote wa mamlaka wakati ulimwengu...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba afikishwa mahakamani
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Profesa Lipumba aondoka nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini.
Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa kwa muda gani.
Profesa Lipumba aliondoka nchini baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, ambako alitangaza kujiondoa katika chama chake na katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Taarifa...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Profesa Lipumba avuruga Bunge