Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI ZA KIGENI ZALAANI KUKAMATWA WANAHARAKATI WA DEMOKRASIA HONG KONG

  Serikali za kigeni zimekosoa kukamatwa kwa wanaharakati 15 wa Hong Kong wanaopigania demokrasia na ambao wanatuhumiwa kwa kupanga na kushiriki katika maandamano ya kuipinga serikali mwaka jana.
Miongoni mwa waliokamatwa ni wanasiasa wakongwe, tajiri wa vyombo vya habari na wanasheria waandamizi. Chama cha Kimataifa cha Wanasheria kimesema maafisa wa Hong Kong hawapaswi kukiuka haki za binaadamu na mfumo wa kisheria lazima uweke ulinzi dhidi ya ukiukaji wowote wa mamlaka wakati ulimwengu...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong yatakiwa kujali Demokrasia

Raia wa Hong Kong nchini China wametakiwa kuunga mkono mapendekezo ya serikali kuhusiana na mabadiliko ya serikali

 

10 years ago

Vijimambo

Alichokisema Wabogojo baada ya kukamatwa na askari Hong Kong akizaniwa kubeba madawa ya kulevya.

Sotetunajua kua kwa sasa jina la Tanzania limechafuliwa baada ya watu wengi kukamatwa nchi mbalimbali ikiwemo china wakisafirisha madawa ya kulevya. Hali hiyo imesababisha raia kutoka Tanzania mara waingiapo katikabaadhi ya nchi kukaguliwa sana kuangalia kama wamebeba madawa ya kulevya au la.Jana kupitia Instagram Star Wabogojo aliyetamba miaka ya mwanzoni mwa 2000 kwa kuonekana katika Video ya Mr Nice alipata adha hiyo ya kukaguliwa na askari wa Hong Kong China wakumhisi kua kabeba madawa...

 

10 years ago

Michuzi

Padri John Wotherspoon atembelea tanzania kuonana na familia za walio magerezani kwa kukamatwa na mihadarati hong kong

Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong.
Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya anafanya ziara nchini Tanzania kutembelea familia za wafungwa hao. Padri Wotherspoon alianza ziara yake mwishoni mwa mwaka jana na anaendelea na ziara ya kutembelea familia hizo hadi hivi sasa.
John Wotherspoon...

 

10 years ago

StarTV

Wanafunzi Hong Kong kukutana na serikali

Viongozi wa wanafunzi huko Hong Kong wamekubali kukutana na upande wa serikali kujadili malalamiko yao siku tano baada ya maandamano makubwa ya kupigania demokrasia.

Hiyo inafuatia mwaliko kutoka kwa mkuu wa utawala wa Hong Kong CY Leung. Alitoa taarifa hiyo muda mfupi kabla ya kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na wanafunzi hao waliotishia kuvamia majengo ya serikali iwapo mkuu huyo hatajiuzulu.

Muda wa mwisho uliowekwa na wanafunzi hao umemalizika salama.

Bwana Leung amesema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji,Serikali kukutana:Hong Kong

Wanafunzi wanaoongoza mgomo kwa zaidi ya wiki tatu Hong Kong leo wanatarajiwa kukutana na uongozi wa serikali kwa majadiliano

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong:Serikali kufanya mazungumzo

Mkurugenzi mkuu wa mji wa Hong Kong Carrie Lam ametangaza kuwa serikali itafanya mazungumzo nawaandamanaji

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wavamia ofisi wa serikali Hong Kong

Wanaharakati wanaopigania demokrasia katika eneo la Hong Kong, wamesababishwa ofisi za serikali kufuingwa asubuhi ya leo kufuatia usiku wenye ghasia kwenye mitaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong si shwari tena

Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa

 

10 years ago

BBCSwahili

Wandamanaji wakesha Hong Kong

Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani