Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Padri John Wotherspoon atembelea tanzania kuonana na familia za walio magerezani kwa kukamatwa na mihadarati hong kong

Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong.
Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya anafanya ziara nchini Tanzania kutembelea familia za wafungwa hao. Padri Wotherspoon alianza ziara yake mwishoni mwa mwaka jana na anaendelea na ziara ya kutembelea familia hizo hadi hivi sasa.
John Wotherspoon...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PADRI JOHN WOTHERSPOON ATEMBELEA TANZANIA

Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong. Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya anafanya ziara nchini Tanzania kutembelea familia za wafungwa hao. Padri Wotherspoon alianza ziara yake mwishoni mwa mwaka jana na anaendelea na ziara...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI ZA KIGENI ZALAANI KUKAMATWA WANAHARAKATI WA DEMOKRASIA HONG KONG

  Serikali za kigeni zimekosoa kukamatwa kwa wanaharakati 15 wa Hong Kong wanaopigania demokrasia na ambao wanatuhumiwa kwa kupanga na kushiriki katika maandamano ya kuipinga serikali mwaka jana.
Miongoni mwa waliokamatwa ni wanasiasa wakongwe, tajiri wa vyombo vya habari na wanasheria waandamizi. Chama cha Kimataifa cha Wanasheria kimesema maafisa wa Hong Kong hawapaswi kukiuka haki za binaadamu na mfumo wa kisheria lazima uweke ulinzi dhidi ya ukiukaji wowote wa mamlaka wakati ulimwengu...

 

10 years ago

Vijimambo

Alichokisema Wabogojo baada ya kukamatwa na askari Hong Kong akizaniwa kubeba madawa ya kulevya.

Sotetunajua kua kwa sasa jina la Tanzania limechafuliwa baada ya watu wengi kukamatwa nchi mbalimbali ikiwemo china wakisafirisha madawa ya kulevya. Hali hiyo imesababisha raia kutoka Tanzania mara waingiapo katikabaadhi ya nchi kukaguliwa sana kuangalia kama wamebeba madawa ya kulevya au la.Jana kupitia Instagram Star Wabogojo aliyetamba miaka ya mwanzoni mwa 2000 kwa kuonekana katika Video ya Mr Nice alipata adha hiyo ya kukaguliwa na askari wa Hong Kong China wakumhisi kua kabeba madawa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-1

Na Mwandishi Wetu

Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.

Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-smartphone

Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Padri Wootherspoon: Natamani kuonana na Rais Kikwete nimweleze ukweli

Baada ya kufanikisha lengo la kuonana na familia zaidi ya 30 za Watanzania waliofungwa katika magereza mbalimbali Hong Kong, Padri wa Kanisa Katoliki, John Wootherspoon aliyeleta ujumbe wa watu hao amesema anatamani kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili amweleze hali ya biashara ya dawa za kulevya na manung’uniko ya wafungwa hao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong na utata wa uchaguzi

Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo mwaka 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong si shwari tena

Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa

 

10 years ago

BBCSwahili

Wandamanaji wakesha Hong Kong

Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji,Serikali kukutana:Hong Kong

Wanafunzi wanaoongoza mgomo kwa zaidi ya wiki tatu Hong Kong leo wanatarajiwa kukutana na uongozi wa serikali kwa majadiliano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani