Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILA MTU AJENGE CHAMA KWA NAFASI YAKE-PROFESA LIPUMBA.

LIP1Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wafuasi wa chama hicho waliojitokeza katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni jijini Dar es salaam,na kuwaambia kuwa CUF ni Taasisi,hivyo wanachama wote wanatakiwa kukijenga chama hicho wawe na vyeo ama wasiwe na vyeo kazi kubwa ni kukijenga chama cha CUF,Pro Lipumba aliyasema maneno hayo bila kutoa ufafanuzi wa kina.
Profesa Lipumba alitakiwa kuzungumza na waandishi wa habari katika makao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kila mtu ni wa pekee na wa tofauti mpe nafasi katika maamuzi yake

Wakati unapoendelea kuishi katika dunia hii, lazima ujue kwamba wewe ni nani na una makusudi gani katika maisha yako. Ingawa tumeishi katika dunia ambayo watu wengine ambao wanaweza kukwambia wewe ni nani na unapaswa kufanya nini. Si vibaya kuwa na watu wa jinsi hiyo, ila katika kipindi maalumu cha maisha yako na kwa makusudi sahihi, […]

 

10 years ago

Vijimambo

Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF


Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...

 

10 years ago

Mwananchi

Chama cha wanasoka kitathmini nafasi yake katika usajili

Msimu wa usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na la pili umeanza rasmi baada ya kumalizika kwa msimu wa mwaka 2014/15 na tayari klabu zimeanza kuonyesha uwezo wao wa kifedha kwa kusajili wachezaji kwa donge nono.

 

11 years ago

GPL

ETI WANANDOA, MBONA KILA MTU SIMU YAKE INA PASSWORD?

NI matumaini yangu kwamba mu wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Mimi mzima, nashukuru Mungu kanifanya kuwa kati ya wale wanaoendelea kuvuta hewa yake bila malipo yoyote. Mpenzi msomaji wangu, tatizo la simu za mkononi kuwa chanzo cha migongano ndani ya ndoa limekuwa sugu katika siku za hivi karibuni. Si kitu cha ajabu kusikia wanandoa wameachana, wamenuniana au hata kupigana kisa kikiwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Paul Atambulisha “PROJECT” yake, Asema Kila Mtu Nayake

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Irene Paul   “Angelina Jolie” wa bongo sababu wengi humfananisha na mwigizaji na mwongozaji nguli huyo wa filamu wa huko marekani kwa muonekano wa sura hasa midomo ilivyojikata.

Tofauti na kwa mastaa wengine ambao huwa hawataki kuweka wazi “PROJECT” zao Irene amekuwa muwazi zaidi baada ya kutupia picha hiyo matandaoni na kuaandika maneno yanayo ashilia kuwa huyo jamaa ambae alim-TAG kwa jina la Duma.

Irene aliandika maneno haya kwa kifupi “kila mtu...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

10 years ago

Vijimambo

KUKAMATWA KWA PROFESA LIPUMBA: DEMOKRASIA IKO MASHAKANI

Ndugu zangu, hivi punde nimeongea na Maharagande Mbarala na Bonifasia Mapunda
wamenijulisha kuwa, Profesa Lipumba na Manaibu Wakurugenzi wawili wa Chama Cha Wananchi CUF (Shaweji Mketo na Abdul Kambaya), pamoja na walinzi wa Profesa Lipumba, wamekamatwa na polisi. Pia, nimeongea na mhe. Joram Bashange, Mkurugenzi wa Fedha wa CUF, tayari yuko Central Police lakini hajaruhusiwa kuwaona viongozi. Mawakili wa CUF wanaelekea polisi pia.

KUMBUKIZI YA MWAKA 2001
Ukamataji huo uliotumia nguvu kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani