Kila mtu ni wa pekee na wa tofauti mpe nafasi katika maamuzi yake
Wakati unapoendelea kuishi katika dunia hii, lazima ujue kwamba wewe ni nani na una makusudi gani katika maisha yako. Ingawa tumeishi katika dunia ambayo watu wengine ambao wanaweza kukwambia wewe ni nani na unapaswa kufanya nini. Si vibaya kuwa na watu wa jinsi hiyo, ila katika kipindi maalumu cha maisha yako na kwa makusudi sahihi, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi05 Aug
KILA MTU AJENGE CHAMA KWA NAFASI YAKE-PROFESA LIPUMBA.

Profesa Lipumba alitakiwa kuzungumza na waandishi wa habari katika makao...
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
Irene Paul Atambulisha “PROJECT” yake, Asema Kila Mtu Nayake
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Irene Paul “Angelina Jolie” wa bongo sababu wengi humfananisha na mwigizaji na mwongozaji nguli huyo wa filamu wa huko marekani kwa muonekano wa sura hasa midomo ilivyojikata.
Tofauti na kwa mastaa wengine ambao huwa hawataki kuweka wazi “PROJECT” zao Irene amekuwa muwazi zaidi baada ya kutupia picha hiyo matandaoni na kuaandika maneno yanayo ashilia kuwa huyo jamaa ambae alim-TAG kwa jina la Duma.
Irene aliandika maneno haya kwa kifupi “kila mtu...
11 years ago
GPL
ETI WANANDOA, MBONA KILA MTU SIMU YAKE INA PASSWORD?
10 years ago
Vijimambo
HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

11 years ago
Michuzi
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Afrika kujadili nafasi yake katika uchumi wa dunia
10 years ago
Mwananchi31 May
Chama cha wanasoka kitathmini nafasi yake katika usajili
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Nadharia, umuhimu wa haki za kijamii na nafasi yake katika Katiba ya watu
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu