Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Irene Paul Atambulisha “PROJECT” yake, Asema Kila Mtu Nayake

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Irene Paul   “Angelina Jolie” wa bongo sababu wengi humfananisha na mwigizaji na mwongozaji nguli huyo wa filamu wa huko marekani kwa muonekano wa sura hasa midomo ilivyojikata.

Tofauti na kwa mastaa wengine ambao huwa hawataki kuweka wazi “PROJECT” zao Irene amekuwa muwazi zaidi baada ya kutupia picha hiyo matandaoni na kuaandika maneno yanayo ashilia kuwa huyo jamaa ambae alim-TAG kwa jina la Duma.

Irene aliandika maneno haya kwa kifupi “kila mtu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kila mtu ni wa pekee na wa tofauti mpe nafasi katika maamuzi yake

Wakati unapoendelea kuishi katika dunia hii, lazima ujue kwamba wewe ni nani na una makusudi gani katika maisha yako. Ingawa tumeishi katika dunia ambayo watu wengine ambao wanaweza kukwambia wewe ni nani na unapaswa kufanya nini. Si vibaya kuwa na watu wa jinsi hiyo, ila katika kipindi maalumu cha maisha yako na kwa makusudi sahihi, […]

 

11 years ago

GPL

ETI WANANDOA, MBONA KILA MTU SIMU YAKE INA PASSWORD?

NI matumaini yangu kwamba mu wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Mimi mzima, nashukuru Mungu kanifanya kuwa kati ya wale wanaoendelea kuvuta hewa yake bila malipo yoyote. Mpenzi msomaji wangu, tatizo la simu za mkononi kuwa chanzo cha migongano ndani ya ndoa limekuwa sugu katika siku za hivi karibuni. Si kitu cha ajabu kusikia wanandoa wameachana, wamenuniana au hata kupigana kisa kikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

KILA MTU AJENGE CHAMA KWA NAFASI YAKE-PROFESA LIPUMBA.

LIP1Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wafuasi wa chama hicho waliojitokeza katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni jijini Dar es salaam,na kuwaambia kuwa CUF ni Taasisi,hivyo wanachama wote wanatakiwa kukijenga chama hicho wawe na vyeo ama wasiwe na vyeo kazi kubwa ni kukijenga chama cha CUF,Pro Lipumba aliyasema maneno hayo bila kutoa ufafanuzi wa kina.
Profesa Lipumba alitakiwa kuzungumza na waandishi wa habari katika makao...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

11 years ago

GPL

IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA

Stori: Imelda Mtema
MAJANGA! Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa licha ya wasanii wa filamu kujitutumua lakini wameshindwa kuvuka mipaka ya Kimataifa. Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul Akieleza masikitiko yake, Irene alimtaja Lupita:
“Inaniuma sana kumuona Lupita Nyongo amevuka mipaka ya Kenya kikazi, sisi tunashindwaje?” alisema… ...

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)

Hivi karibuni Davido alihojiwa na kituo cha Sahara TV (Iko hapa) na kusema kuwa hana beef na Wizkid, lakini baada ya hapo waliendelea kurushiana vijembe kupitia mitandao ya kijamii. Hatimaye Wizkid naye amefanya mahojiano na mtangazaji aitwaye Olisa Adibua kupitia kipindi chake cha TV ambaye alimuuliza kuhusu beef hiyo. Kuhusu beef anzia dakika 9:20 “That […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Paul Kuja na Filamu ya Shukrani

Mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike 2015, Irene Paul ameandaa filamu kama zawadi  kwa mashabiki wa filamu  kwa kutambua kazi anazozifanya  na kumpigia kura nyingi zilizompa ushindi.

Akizungumza na Gazeti la Nipashe Irene alisema ana washukuru Watanzania kwa kumpokea tangu alipoingia  katika uigizaji lakini pia ameamua kutenfgeneza filamu ambayo bado hajaipa jina ikiwa ni kwaajili ya kurudisha hisani kwa wanaomkubali.

Irene ambaye alishinda tuzo hiyo ya muigizaji bora wa kike kupitia...

 

11 years ago

GPL

IRENE PAUL ATESWA NA BIFU LA KUAMBIANA

Stori: Shani Ramadhani
MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul ameweka wazi kuwa anateswa na bifu lake na marehemu Adam Kuambiana kwani amefariki dunia wakiwa wamekorofishana. Mkali wa filamu za Bongo, Irene Paul Irene alisema alitofautina na Kuambiana alipokuwa akiigiza Sinema ya Broken Family, miezi kadhaa iliyopita lakini hadi jamaa huyo anapatwa na umauti, hawakuwa na maelewano. “Mimi nilikuwa na hasira, marehemu pia....

 

9 years ago

GPL

IRENE PAUL AWAVAA MASTAA WANAOGOMBANA!

Staa wa sinema za Kibongo, Irene Paul. Imelda mtema Mshangao! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewavaa baadhi ya mastaa wenzake wanaolumbana na kutenganishwa na siasa bila kujua kuna maisha baada ya uchaguzi wa Oktoba 25. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Irene alisema kuwa haoni kama ni vyema wasanii kugawanyika na kutengana kimakundi kwa sababu ya siasa ambalo ni jambo la mpito ambapo baadaye kila mtu atarudi kwenye maisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani