Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Profesa Ibrahim Lipumba ajiuzulu nyazifa zote CUF na UKAWA, abaki mwanachama wa kawaida
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/136.jpg)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacock leo jijini Dar es salaam wakati akitangaza kujuuzulu nyazifa zake zote katika chama hicho na kubaki mwanachama wa kawaida kutokana kile alichokiita dhamira inamsuta.(NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM).
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba akionyesha rasimu ya katiba iliyoandaliwa na tume ya katiba mpya iliyokuwa...
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Profesa Lipumba aibukia Kigali
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unawanyima demokrasia wananchi kwa kuwa watakuwa na wagombea urais wawili kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na kituo cha runinga cha Azam juzi baada ya vyombo kadhaa vya habari kuandika uvumi kwamba ametoweka nchini kwa shinikizo huku akiwa amefadhaika, Profesa Lipumba alikanusha taarifa hizo na kuonyesha masikitiko yake jinsi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Profesa Lipumba avuruga Bunge
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Profesa Lipumba aondoka nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini.
Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa kwa muda gani.
Profesa Lipumba aliondoka nchini baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, ambako alitangaza kujiondoa katika chama chake na katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Taarifa...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba afikishwa mahakamani
11 years ago
Habarileo26 Jan
UVCCM yamuonya Profesa Lipumba
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imemuonya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kuacha kuingilia uamuzi wa kikatiba unaofikiwa na chama hicho.
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba awekwa kizuizini
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Profesa Lipumba, Dk. Slaa hamjatutendea haki
WAKATI mwingine ni wanasiasa wenyewe wanaosababisha raia wa kawaida kuuamini msemo uliopo mitaani kuwa ‘siasa ni mchezo mchafu’.
Msemo huu wa kawaida kabisa mitaani umesababisha hata mtu akizungumza porojo tu watu hudai kwamba eti; ‘hizo ni siasa tu.’
Kwa hiyo sasa siasa kwa lugha nyingine ya mtaani ni ‘usanii’ tu, kitu ambacho si kweli hata kidogo.
Wasomi wa ‘sayansi ya siasa’ (sina hakika kama ndio tafsiri halisi ya ‘political science’), hudai kuwa siasa ni sayansi ya jamii...
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba