UN: Demokrasia imo mashakani DR Congo
Ripoti ya Shirika la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa inasema kuwa vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu DRC vinafanya matumaini kuwepo kwa demokrasia kufifia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Jan
KUKAMATWA KWA PROFESA LIPUMBA: DEMOKRASIA IKO MASHAKANI
wamenijulisha kuwa, Profesa Lipumba na Manaibu Wakurugenzi wawili wa Chama Cha Wananchi CUF (Shaweji Mketo na Abdul Kambaya), pamoja na walinzi wa Profesa Lipumba, wamekamatwa na polisi. Pia, nimeongea na mhe. Joram Bashange, Mkurugenzi wa Fedha wa CUF, tayari yuko Central Police lakini hajaruhusiwa kuwaona viongozi. Mawakili wa CUF wanaelekea polisi pia.
KUMBUKIZI YA MWAKA 2001
Ukamataji huo uliotumia nguvu kubwa...
9 years ago
Bongo530 Sep
Music: Yamoto Band — Imo
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Masatu: Simba imo shimoni
10 years ago
Habarileo22 Oct
Sheria 33 kufumuliwa, imo ya Bodi ya Mikopo
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imepokea Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014, unaopendekeza kuzifanyia marekebisho sheria 33, ambao pia utawasilishwa katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Novemba 4, mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima haivumi lakini imo
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
UN:Wanoafadhil wapiganaji mashakani
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Majaji 34 Ghana mashakani
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Vijana wako mashakani