UN:Wanoafadhil wapiganaji mashakani
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa pamoja limeamua kuwawekea vikwazo watu wanaowafadhili wapiganaji.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Wakeketaji mashakani Uganda
Watu watano wakiwemo wanawake na wanaume wamekamatwa na polisi nchini Uganda kutokana na kuwakeketa wasichana.
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Majaji 34 Ghana mashakani
Jaji mkuu wa Ghana amehutubia nchi kuhusu kashfa kubwa ya rushwa dhidi ya majaji
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Vijana wako mashakani
Inasononesha! Vijana wetu hasa hawa wanaojiita ‘Mastaa’ au wengine wakipenda kujiita kwa kizungu kuwa ni ‘celebrities’ wamezuka na lipi jipya kwa kuitangaza nchi yetu huko duniani? Na je! Taifa linaelekea wapi na kwa minajili gani hasa?
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Dawa za kulevya:Nelly mashakani
Mshindi wa tuzo ya Grammy mwanamuziki Cornell Haynes ama kwa jina maarufu Nelly amekamatwa na shtaka la mihadarati .
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi
Mwanasayansi wa Uingereza Sir Tim Hunt amejiuzulu baada ya kutoa tamko la mzaha kuhusu wanawake.Mshindi huyo wa taji la Nobel alisema kuwa wanawake huwapenda wanaume wanaofanya kazi nao kwa urahisi.
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Wanariadha wanaotumia dawa mashakani
Wanariadha watakaopatikana wametumia dawa za kusisimua misuli watapigwa marufuku ya miaka minne
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Maaskofu wanyanyasaji sasa mashakani
Papa Francis ameidhinisha kuundwa kwa idara mpya itakayokuwa na mamlaka ya kuwawajibisha maaskofu wa kanisa katoliki wanaotuhumiwa kuwanyanyasa watoto kingono .
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Wanaowaficha wagonjwa wa Ebola mashakani
Bunge la Sierra Leone limepitisha sheria inayotoa hukumu ya miaka miwili jela kwa mtu atakayemficha mgonjwa wa Ebola.
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Tamko la Facebook lamtia mashakani
Raia mmoja wa Marekani anayefanya kazi katika milki za kiarabu amekamatwa kwa matamshi aliyochapisha katika mtandao wa facebook
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania