Wanariadha wanaotumia dawa mashakani
Wanariadha watakaopatikana wametumia dawa za kusisimua misuli watapigwa marufuku ya miaka minne
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Beijing:Wanariadha 2 Wakenya mashakani
Wanariadha wawili wa Kenya wamebainika kwamba walitumia dawa za kusisimua misuli katika mashindano yanayoendelea ya IAAF mjini Beijing.
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
IOC yaonya wanariadha wanaotumia madawa
Rais wa kamati ya Olimpiki duniani,Thomas Bach ameonya kuwa, IOC haitamhurumia mwanariadha yeyote aliyeshinda nishani ya dunia kupitia njia isiyo halali.
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Wanaotumia dawa michezoni wafungiwe
Bingwa wa dunia Olimpik riadha Valerie Adams amependekeza kufungiwa maisha kwa mwanariadha atakayebainika kutumia dawa.
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Dawa za kulevya:Nelly mashakani
Mshindi wa tuzo ya Grammy mwanamuziki Cornell Haynes ama kwa jina maarufu Nelly amekamatwa na shtaka la mihadarati .
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Dawa ya wagombea wanaotumia lugha za matusi, vitisho yaiva
Polisi mkoani Mtwara imewaonya wagombea na wafuasi wao kutumia lugha za matusi, vitisho pamoja na fujo katika mikutano ya kampeni.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Wanariadha waandamana Kenya
Kundi la wanariadha waliojawa na hamaki limevamia makao makuu ya shirikisho la riadha nchini Kenya AK
11 years ago
Mwananchi16 Jul
JK: Wanariadha mna deni
 Rais Jakaya Kikwete aliangalia mechi yote ya fainali ya Kombe la Dunia na jana aliipongeza Ujerumani kwa kutwaa ubingwa, lakini baadaye jioni aliwaaga wanamichezo wa Tanzania wanaoenda kwenye Michezo ya |Jumuiya ya Madola akisema wana deni kubwa.
11 years ago
Mwananchi31 May
Kocha: Wanariadha bado
Kocha wa timu ya taifa ya riadha, Boniface Kimisha amesema wanariadha wa Tanzania wanaoendelea na kambi China bado imeshindwa kuwasaidia kudadilisha viwango vyao.
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Wanariadha nyota kuchuana
>Wanariadha maarufu Tanzania, Mary Naali, Jacqueline Sakilu, Sarah Ramadhani, Andrew Sambu na Dickson Marwa ni miongoni mwa wakimbiaji watakaochuana kusaka ubingwa wa mbio za Kilimanjaro Marathon.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania