Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaotumia dawa michezoni wafungiwe

Bingwa wa dunia Olimpik riadha Valerie Adams amependekeza kufungiwa maisha kwa mwanariadha atakayebainika kutumia dawa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Dawa za kulevya michezoni ni faida?

Wanariadha waliofungiwa kutokana na kutumia dawa za kusisimua misuli hunufaika na dawa hizo hata baada ya kumaliza muda wa adhabu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa Michezoni zamchefua,Jenny Meadows

Matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni yamchefua Jenny Meadows

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wanaotumia dawa mashakani

Wanariadha watakaopatikana wametumia dawa za kusisimua misuli watapigwa marufuku ya miaka minne

 

10 years ago

Mwananchi

Dawa ya wagombea wanaotumia lugha za matusi, vitisho yaiva

Polisi mkoani Mtwara imewaonya wagombea na wafuasi wao kutumia lugha za matusi, vitisho pamoja na fujo katika mikutano ya kampeni.

 

11 years ago

Mwananchi

BBC MICHEZONI

Kwenye makala zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando, mwanahabari nguli, hususan katika fani ya utangazaji, anadokeza tu baadhi ya mengi aliyokutana nayo kwenye kipindi chake kirefu kazini. 

 

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi ni kikwazo michezoni’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewanyooshea kidole viongozi wa michezo mbalimbali nchini kuwa ndio wamesababisha sekta hiyo isipige hatua, licha ya juhudi zake binafsi alizofanya kwa miaka 10.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah kurejea michezoni

Mo Farah ametamka kuwa anarejea ulingoni kwa mara ya kwanza baada ya kuwepo kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kusisimua misuli

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi waingia michezoni

Mtu mmoja ameshambulia mechi ya Volleyball mashariki mwa wa Afghanstan,na kuua watu wapatao arobaini na watano.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumeshindwa kuwekeza michezoni tunajuta

Ni takriban mwezi mmoja umebaki sasa kabla ya kufanyika kwa Michezo ya Afrika huko Kongo na kushirikisha nchi zaidi ya 50 ikiwamo Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani