Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Viongozi ni kikwazo michezoni’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewanyooshea kidole viongozi wa michezo mbalimbali nchini kuwa ndio wamesababisha sekta hiyo isipige hatua, licha ya juhudi zake binafsi alizofanya kwa miaka 10.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Viongozi msiwe kikwazo cha maendeleo’

VIONGOZI wa serikali na siasa wametakiwa kutokuwa kikwazo kwa wataalamu kuhusu kutekeleza majukumu yao. Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, Mrisho Gambo, alipozungumza na Baraza...

 

11 years ago

Mwananchi

BBC MICHEZONI

Kwenye makala zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando, mwanahabari nguli, hususan katika fani ya utangazaji, anadokeza tu baadhi ya mengi aliyokutana nayo kwenye kipindi chake kirefu kazini. 

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi waingia michezoni

Mtu mmoja ameshambulia mechi ya Volleyball mashariki mwa wa Afghanstan,na kuua watu wapatao arobaini na watano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah kurejea michezoni

Mo Farah ametamka kuwa anarejea ulingoni kwa mara ya kwanza baada ya kuwepo kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kusisimua misuli

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa za kulevya michezoni ni faida?

Wanariadha waliofungiwa kutokana na kutumia dawa za kusisimua misuli hunufaika na dawa hizo hata baada ya kumaliza muda wa adhabu.

 

9 years ago

Habarileo

JK: Tumeanza safari ya uhakika michezoni

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete jana alizindua rasmi kituo cha kuendeleza vipaji vya watoto Kidongo Chekundu, Dar es Salaam na kusema safari ya uhakika ya kuendeleza vipaji kwa watoto imeanza.

 

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zaagizwa kuwekeza michezoni

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura ameagiza halmashauri za wilaya na miji nchini zishiriki kuendeleza michezo kuanzia shule za msingi ili kukuza vipaji vya watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumeshindwa kuwekeza michezoni tunajuta

Ni takriban mwezi mmoja umebaki sasa kabla ya kufanyika kwa Michezo ya Afrika huko Kongo na kushirikisha nchi zaidi ya 50 ikiwamo Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaotumia dawa michezoni wafungiwe

Bingwa wa dunia Olimpik riadha Valerie Adams amependekeza kufungiwa maisha kwa mwanariadha atakayebainika kutumia dawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani