Halmashauri zaagizwa kuwekeza michezoni
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura ameagiza halmashauri za wilaya na miji nchini zishiriki kuendeleza michezo kuanzia shule za msingi ili kukuza vipaji vya watoto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Tumeshindwa kuwekeza michezoni tunajuta
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Halmashauri zaagizwa kupima ardhi ya kila mtu
10 years ago
Habarileo21 Jan
Halmashauri zaagizwa kikundi kazi kuziba uvujaji
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imetaka halmashauri zote nchini kuanzisha kikundi kazi maalumu cha kufanya utafiti, kupitia, kuhakiki na kufanyia tathmini vyanzo vya mapato kubaini mianya ya uvujaji.
10 years ago
StarTV15 Feb
Halmashauri Dodoma zaagizwa kutafuta wawekezaji katika Zabibu.
Na Magreth Tengule,
Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameiagiza Manispaa ya Mkoa wa Dodoma na Halmashauri za wilaya kwa ujumla kutafuta wawekezaji wa viwanda ili kutatua kilio cha muda mrefu cha wakulima wa Zabibu kukosa soko la zao hilo.
Waziri Mkuu ametoa agizo huo alipokuwa akizungumza na Askofu Mndolwa wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Tanda na Askofu Dickson Chilongani wa Dodoma pamoja na waumini wa kanisa hilo walipotembelea shambani kwa kiongozi huyo eneo la Zuzu mkoani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0VR7EmyxD6g/Xr6sWZbjkXI/AAAAAAALqX4/9iWRfMPCKuw9bnMan2rCkKTU74Db9gyowCLcBGAsYHQ/s72-c/614bea9b-8a83-4170-854a-8d8ffbe2e406.jpg)
MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AFUNGUKA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO, AWAITA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE UTALII
Charles James, Michuzi TV
NYUMBANI kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya. Nyumbani kwa Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro. Ndipo nyumbani pia kwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe.
Naizungumzia Wilaya ya Mwanga iliyopo Kilimanjaro. Wilaya ambayo licha ya kutawaliwa na milima mingi lakini ina miundombinu madhubuti ya barabara na nishati ya umeme pia.
Wilaya ya Mwanga licha ya kuwa na Tarafa sita lakini umaarufu wa Tarafa...
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
US na UK zaagizwa kutoiuzia silaha Saudia
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
'Condom' zaagizwa kwa Simu Uganda
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Asasi za fedha Singida zaagizwa kusaidia Wajasiriamali
Kaimu Meneja wa Benki ya CRDB mkoa wa Singida, Isaya Kimario, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya ufungaji wa mafunzo yaliyohudhuriwa na wajasiriamali 50 kutoka wilaya ya Iramba na Singida. Wa pili kulia, ni mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi na wa kwanza kushoto ni Meneja Mahusiano kitengo cha Wajasiriamali Makao Makuu CRDB Dar-es-salaam, Godfrey Ng’urah.
Na Nathaniel Limu, Singida
SERIKALI wilaya ya Singida, imeziagiza asasi za kifedha zikiwemo benki zinazojishughulisha na huduma ya...
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Hospitali zaagizwa kutengeneza mfumo wa malipo wa kielektroniki
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akifurahi jambo na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga (kulia) wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mwishoni mwa juma mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Na Mwandishi wetu, Mtwara
NAIBU Waziri katika Wizari wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ameagiza kubadilishwa kwa mifumo ya utawala,...