Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri Dodoma zaagizwa kutafuta wawekezaji katika Zabibu.

Na Magreth Tengule,

Dodoma.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameiagiza Manispaa ya Mkoa wa Dodoma na Halmashauri za wilaya kwa ujumla kutafuta wawekezaji wa viwanda ili kutatua kilio cha muda mrefu cha wakulima wa Zabibu kukosa soko la zao hilo.

 

Waziri Mkuu ametoa agizo huo alipokuwa akizungumza na Askofu Mndolwa wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Tanda na Askofu Dickson Chilongani wa Dodoma pamoja na waumini wa kanisa hilo  walipotembelea shambani kwa kiongozi huyo eneo la Zuzu mkoani...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zaagizwa kuwekeza michezoni

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura ameagiza halmashauri za wilaya na miji nchini zishiriki kuendeleza michezo kuanzia shule za msingi ili kukuza vipaji vya watoto.

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zaagizwa kikundi kazi kuziba uvujaji

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imetaka halmashauri zote nchini kuanzisha kikundi kazi maalumu cha kufanya utafiti, kupitia, kuhakiki na kufanyia tathmini vyanzo vya mapato kubaini mianya ya uvujaji.

 

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zaagizwa kupima ardhi ya kila mtu

Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi, William Lukuvi amesema Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuhakikisha ardhi yote inapimwa ili kila Mtanzania mwenye eneo apate hati ya kulimiliki.

 

10 years ago

Michuzi

KONYAGI YAWASOMESHA WANAFUNZI WA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA


 Mratibu wa Mpango wa Somesha mtoto wa Mkulima wa zabibu ulidhaminiwa na Tanzania Distillaries LTD (TDL) Saimon Chibehe akizungumza jambo na wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi wa Kata ya Handari wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki. Mratibu wa Mpango wa Somesha Mtoto wa Mkulima wa zabibu unaodhaminiwa na Kiwanda cha Konyagi cha  Tanzania Distillaries LTD (TDL), Saimon Chibehe akizungumza jambo akizungumza na Wazazi, Walezi ambao ni wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Konyagi yasomesha watoto wa wakulima wa Zabibu Dodoma

 Mratibu wa Mpango wa Somesha mtoto wa Mkulima wa zabibu ulidhaminiwa na Tanzania Distillaries LTD (TDL) Saimon Chibehe akizungumza jambo na wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi wa Kata ya Handari wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.

 Mratibu wa Mpango wa Somesha Mtoto wa Mkulima wa zabibu unaodhaminiwa na Kiwanda cha Konyagi cha  Tanzania Distillaries LTD (TDL), Saimon Chibehe akizungumza jambo akizungumza na Wazazi, Walezi ambao ni wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi...

 

10 years ago

Habarileo

Wilaya za Dodoma zaagizwa kujipanga kwa kilimo

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa a m e z i a g i z a wilaya kujipanga ili kuweza kufanikisha shughuli za kilimo na hata kuwahimiza wakulima kutumia vizuri mvua zinazonyesha.

 

10 years ago

Michuzi

KONYAGI WATEMBELEA MASHAMBA YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA AMBAO WATOTO WAO WANAFADHILIWA KIMASOMO

 Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba la zabibu la Festo Kuziganika katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma. Kulia ni mmoja wa wakulima wa eneo hilo, Juliana Masukwi. Watoto wa wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo.
 Festo Kuziganika mkazi na mkulima wa zabibu katika katika Kijiji cha Mbabara, Manispaa ya Dodoma akimuelekeza jambo Mratibu wa Mpango wa...

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutafuta vyanzo vipya

HALMASHAURI za wilaya zimetakiwa kujipanga upya na kutafuta vyanzo vingine vya mapato, kwani wakiingia madarakani watafuta ushuru na kodi zote zinazowakera wananchi, hasa wale wafanyabiashara wadogo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa Anglican watembelea shamba la Waziri Mkuu Zuzu Dodoma kujifunza kilimo bora cha Zabibu na Embe

PG4A0835

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza viongozi wa Kanisa la Anglican kutembelea shamba lake la Zabibu lililopo Zuzu Dodoma Februari 9, 2015. Baadhi ya viongozi hao ambao walikwenda kujifunza kwa lengo la kuanzisha shamba linalofanana na hilo Dodoma ni Askofu Dickson Chilongani wa Dayosisi ya Dodoma (kushoto), Askofu Maimbo Mndolwa wa Dayosisi ya Tanga (wapili kushoto) na  kulia ni Re. Canon, Johnson Chinyongole ambaye ni Katibu Mkuu wa Kanisa hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0824

PG4A0826

PG4A0844

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani