Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Tumeanza safari ya uhakika michezoni

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete jana alizindua rasmi kituo cha kuendeleza vipaji vya watoto Kidongo Chekundu, Dar es Salaam na kusema safari ya uhakika ya kuendeleza vipaji kwa watoto imeanza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Ukawa ni safari ya uhakika

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk  Willibrod Slaa amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwaka huu, unaingia kwenye uchaguzi ukiwa na safari ya uhakika na siyo ya matumaini kama ilivyotolewa na mmoja wa watangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tumeanza Bunge Maalumu la Katiba kwa kushindwa’

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba amesema mwanzo wao umekuwa mbaya, kutokana na wengi wao kuwa na misimamo ya vyama na makundi yaliyowapeleka kwenye Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumeanza mwaka, tuache maigizo kwenye elimu

Mwaka 2013 ulitawaliwa na vituko katika sekta ya elimu ambayo vinatokana na tabia ya Serikali kujibu maswali magumu kwa majibu mepesi.

 

5 years ago

Michuzi

HESLB: TUMEANZA MAANDALIZI YA MALIPO KWA WANAFUNZI NA VYUO

Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo yenye jumla ya thamani ya TZS 63.7 bilioni ikiwa ni fedha za chakula na malazi kwa ajili ya robo ya tatu ya mwaka wa masomo 2019/2020 na fedha hizo zitawafikia wanufaika wote kupitia vyuo vyao ifikapo Alhamisi, Mei 28, 2020.

Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano ilisema kuwa hatua hiyo  ya kuanza kufanya malipo inafuatia maelekezo ya...

 

5 years ago

Michuzi

TUMEANZA KUPATA MAAMBUKIZI YA NDANI YA VIRUSI VYA CORONA - UMMY

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Tanzania imeanza kupata maambukizi ya Virusi vya Corona ya ndani kuanzia maambukizi yaliyopatikana tarehe 08/04/2020. Amesema kuwa tahadhari kubwa inahitajika katika kuhakikisha kuzuia kuendelea kwa maambukizi ya kijamii itasababisha kuongezekana kwa kasi ya maambukizi katika jamii. Ameyazungumza hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na viongozi wakuu wa madhehebu ya dini katika kujadiliana namna ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumeanza kuona umuhimu wa mazoezi lakini tusiparamie bila mpango

Taratibu wimbi la kupunguza unene, kuboresha afya na haiba linashika moto, Afrika. Vijana wanainua vyuma ndani ya ma- Gym; wanawake kwa wanaume wanakimbia na kutafuta wakufunzi. Watanzania wanauliza maswali kuhusu mazoezi kutaka kufahamu la ziada.

 

11 years ago

Mwananchi

BBC MICHEZONI

Kwenye makala zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando, mwanahabari nguli, hususan katika fani ya utangazaji, anadokeza tu baadhi ya mengi aliyokutana nayo kwenye kipindi chake kirefu kazini. 

 

9 years ago

Mwananchi

‘Viongozi ni kikwazo michezoni’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewanyooshea kidole viongozi wa michezo mbalimbali nchini kuwa ndio wamesababisha sekta hiyo isipige hatua, licha ya juhudi zake binafsi alizofanya kwa miaka 10.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi waingia michezoni

Mtu mmoja ameshambulia mechi ya Volleyball mashariki mwa wa Afghanstan,na kuua watu wapatao arobaini na watano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani