Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HESLB: TUMEANZA MAANDALIZI YA MALIPO KWA WANAFUNZI NA VYUO

Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo yenye jumla ya thamani ya TZS 63.7 bilioni ikiwa ni fedha za chakula na malazi kwa ajili ya robo ya tatu ya mwaka wa masomo 2019/2020 na fedha hizo zitawafikia wanufaika wote kupitia vyuo vyao ifikapo Alhamisi, Mei 28, 2020.

Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano ilisema kuwa hatua hiyo  ya kuanza kufanya malipo inafuatia maelekezo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

HESLB yajitetea malipo ya wanafunzi kuchelewa

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) imesema sababu iliyochelewesha kutoa fedha za mafunzo kwa vitendo kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vitano nchini imetokana na kuchelewa kupata fedha kutoka Hazina.

 

9 years ago

Dewji Blog

HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016

New Picture (4)

Na Mwandishi wetu

Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.

Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

10 years ago

Habarileo

HESLB walipa fedha za mkopo kwa vyuo 16

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema inaendelea kulipa fedha za mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini na tayari wanafunzi wa vyuo 16 wameshalipwa.

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wawili walipiwa ada kwa malipo ya bima ya mama yao


Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari James Sangu (hawapo pichani ) juu ya namna ya kujiunga na fao hilo kabla ya kufanyika kwa zoezi la makabidhiano ya hundi kwa Jaqline Ndyamkama ambaye ni mwanafunzi wa shule hiyo yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mama yake Anna Jelle kufariki Dunia. Picha zote Emanuel Madafa, Mbeya.


Na Mwandishi Wetu, Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAIBUKA NA UNI 255 KUTOA FULSA KWA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUFAIDI INTANET KWA GHARAMA NAFUU KULIKO ZOTE

 Mkurugenzi wa Airtel Huduma kwa Wateja,Bi.Adriana Lyamba akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa mashindano ya Airtel Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma. Timu ya Simba ikishangilia mara baada ya kukabidhiwa kombe lao mara baada ya kuibuka kinara katika mashindano ya Soka ya Airtel 255. Aidha Aneth Mugha ambaye ni Meneja Masoko wa Airtel...

 

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALALAMIKIA USAFIRI BAADA YA VYUO KUFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

Charles James, Globu ya Jamii
WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu na vya kati jijini Dodoma wameishukuru serikali kwa kufunga vyuo hivyo ili kuondoa msongamano katika maeneo yao ya vyuo unaoweza kusababisha maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
Wakizungumza na Michuzi leo jijini Dodoma wanafunzi hao wamesema kuwa ikitokea mmoja wao amekumbwa na virusi vya corona ingeweza  kusambaa kwa kasi kubwa na kupelekea maambukizi kuenea kwa haraka zaidi hivyo serikali imefanya jambo la busara kufunga vyuo na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mikopo ya wanafunzi 40,836 tayari- HESLB

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imewapangia mikopo wanafunzi 40,836 baada ya kukidhi vigezo vyake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani