Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wawili walipiwa ada kwa malipo ya bima ya mama yao


Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari James Sangu (hawapo pichani ) juu ya namna ya kujiunga na fao hilo kabla ya kufanyika kwa zoezi la makabidhiano ya hundi kwa Jaqline Ndyamkama ambaye ni mwanafunzi wa shule hiyo yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mama yake Anna Jelle kufariki Dunia. Picha zote Emanuel Madafa, Mbeya.


Na Mwandishi Wetu, Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Muwashitaki wanaofukuza wanafunzi kwa ada’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameagiza wazazi kuwashitaki walimu wakuu na wakuu wa shule wanaofukuza wanafunzi kutokana na kushindwa kulipa ada au michango mingine.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ :Marufuku wanafunzi kurejeshwa nyumbani kwa ada

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar,  Zahra Ali Hamad SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka walimu wakuu kuacha tabia ya kuwasumbua na kuwarudisha shule wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kulipa ada ya mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

HESLB: TUMEANZA MAANDALIZI YA MALIPO KWA WANAFUNZI NA VYUO

Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo yenye jumla ya thamani ya TZS 63.7 bilioni ikiwa ni fedha za chakula na malazi kwa ajili ya robo ya tatu ya mwaka wa masomo 2019/2020 na fedha hizo zitawafikia wanufaika wote kupitia vyuo vyao ifikapo Alhamisi, Mei 28, 2020.

Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano ilisema kuwa hatua hiyo  ya kuanza kufanya malipo inafuatia maelekezo ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi zaidi ya 50 hoteli ya kitalii Ngurdoto waandamana kwa DC Arumeru wakidai malipo yao

Wafanyakazi zaidi ya 50 wa hoteli ya Kitalii ya Ngurdoto iliyopo nje kidogo ya jiji la Arusha ,wameandamana ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro wakimlalamkia mwajiri wao Joan Mrema kwa kushindwa kuwalipa mishahara yao ya miezi mitatu mfururizo.
Wakiongea mbele ya Mkuu huyo wa wilaya wamedai kuwa pamoja na kutolipwa mishahara yao ,wanadai makato ya mfuko wa kijamii wa nssf yamekuwa hayapelekwi na kupatà usumbufu mkubwa wanapoacha ama kuachishwa kazi .
Madai mengine ni wafanyakazi wa...

 

9 years ago

StarTV

Mfuko Bima ya afya wakanusha tuhuma za  Ucheleweshaji Malipo Vituoni

Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya NHIF umekanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake za kuchelewesha kulipa madai kwenye vituo vinavyotumia huduma zake hatua inayochangia kudhorotesha utoaji huduma kwa watumiaji wa bima.

Mfuko huo umesema madai hayo hayana ukweli wowote, kwa kuwa imekuwa ikilipa madai yote yanayowasilishwa makao makuu kwa wakati ambao mara nyingine huwa ni siku chache zaidi ya muda unaotakiwa kisheria kulipa.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Michael Mhando, anakutana na waandishi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kizimbani kwa kuoa wanafunzi wawili ndugu

JESHI la Polisi Wilaya ya Nkasi, linamshikilia Pius Jacob, mkazi wa Kijiji cha Chala kwa kosa la kuoa mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Kabwe, wilayani Nkasi....

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI

Ofisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji. Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka kabla ya kwenda kuonesha mwenzake alipo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa

Familia ya watu watatu ya mkazi wa Kijiji cha Mwamalulu, Kata ya Nara, wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora, Leticia Thomas (30) na watoto wake wawili, wameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wasio na uwezo kulipiwa ada

SERIKALI kupitia halmashauri zote nchini ina mpango wa kuwasaidia na kuwalipia ada na michango mingine wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo. Kauli hiyoilitolewa bungeni jana na Waziri wa Elimu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani