Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Muwashitaki wanaofukuza wanafunzi kwa ada’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameagiza wazazi kuwashitaki walimu wakuu na wakuu wa shule wanaofukuza wanafunzi kutokana na kushindwa kulipa ada au michango mingine.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

SMZ :Marufuku wanafunzi kurejeshwa nyumbani kwa ada

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar,  Zahra Ali Hamad SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka walimu wakuu kuacha tabia ya kuwasumbua na kuwarudisha shule wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kulipa ada ya mwaka.

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wawili walipiwa ada kwa malipo ya bima ya mama yao


Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari James Sangu (hawapo pichani ) juu ya namna ya kujiunga na fao hilo kabla ya kufanyika kwa zoezi la makabidhiano ya hundi kwa Jaqline Ndyamkama ambaye ni mwanafunzi wa shule hiyo yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mama yake Anna Jelle kufariki Dunia. Picha zote Emanuel Madafa, Mbeya.


Na Mwandishi Wetu, Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wasio na uwezo kulipiwa ada

SERIKALI kupitia halmashauri zote nchini ina mpango wa kuwasaidia na kuwalipia ada na michango mingine wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo. Kauli hiyoilitolewa bungeni jana na Waziri wa Elimu na...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 1,800 kulipiwa ada chuo kikuu

CHUO Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada.

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

GPL

WANAOSOMESHWA KWA ADA NAFUU WAMIMINIKA


Baadhi ya wanachuo wa Mlimani School of Professional Studies cha jijini Dar es Salaam, wakiwa darasani. Na Mwandishi Wetu Vijana kutoka mikoa mbalimbali wamezidi kumimika kutumia fursa ya kujipatia masomo ya ngazi ya chuo inayotolewa na Chuo cha Mlimani School of Professional Studies cha jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa chuo hicho Hassan Ngoma alisema idadi ya wanaojitokeza kujiunga na mpango huo maalumu wa kuwasaidia...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi kwa shule binafsi Desemba 15

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wazazi na walezi wenye wanafunzi wanaotegemea kuanza masomo au kuendelea na masomo katika shule binafsi mapema Januari mwezi ujao, kuvuta subira hadi Desemba 15, mwaka huu serikali itakapotoa maelekezo mbalimbali ikiwemo suala la ada elekezi.

 

10 years ago

Michuzi

DC Temeke aipongeza shule ya Twayyaibat kwa ada nafuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMKUU wa wilaya Temeke, DC Sophia Mjema, ameipongeza shule ya Sekondari ya Kiislamu inayojulikana kama Twayyaibat Islamic Seminary Secondary School kwa kufanya ada nafuu inayoweza kuwafanya wazazi na walezi wamudu gharama za kusomesha watoto kwenye shule binafsi.
mwanafunzi kutoka Twayyibat Islamic Seminari akisoma Quraan katika shule hiyo walipotembelewa na Mkuu wa Wilaya Temeke, Sofia Mjema, hayupo pichani.
DC Mjema aliyasema hayo alipofanya ziara katika shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani