Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 1,800 kulipiwa ada chuo kikuu

CHUO Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wasio na uwezo kulipiwa ada

SERIKALI kupitia halmashauri zote nchini ina mpango wa kuwasaidia na kuwalipia ada na michango mingine wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo. Kauli hiyoilitolewa bungeni jana na Waziri wa Elimu na...

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi

UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi Chuo Kikuu St John’s wagoma

WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St. John’s mjini hapa jana wamegoma kuingia madarasani, kushinikiza uongozi wa chuo hicho kutatua matatizo yao, ikiwemo madai ya chuo kuwa na sheria kandamizi.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Chuo Kikuu IMTU chafungiwa kudahili wanafunzi

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia  (IMTU),kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015. Hatua hiyo imefuatia  chuo hicho  kujiendesha chini ya viwango vya udhibiti vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria, hivyo  kimepewa  notisi ya miezi mitatu  kurekebisha mapungufu yake. Kaimu Katibu Mtendaji wa TCU, Frofesa Magishi Mgasa, alisema kwa kuzingatia kifungu namba 5(1) (b), (h), (j) na (l) cha Sheria ya vyuo ...

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi Chuo Kikuu Kampala waendelea kugoma

KIUJonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
WANAFUNZI wa Kitivo cha Sayansi ya Afya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) wameendelea kugoma kwa kufunga lango kuu la chuo hicho kuuzuia uongozi kuingia au kutoka hadi malalamiko yao yatakapopatiwa ufumbuzi.
Kwa mujibu wa wanafunzi hao, tangu waanze mgomo Aprili 10 mwaka huu, uongozi wa chuo hicho haujataka kuwasikiliza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wanafunzi wa chuo hicho waliainisha madai takriban saba wakidai ni ya muda mrefu.
“Tumegoma kwa sababu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi 1,044 wahitimu Chuo Kikuu Ardhi

01 IMG_4198

Wahitimu wa digrii ya  elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.

Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa  digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu “Kuelekea modeli ya mfumo wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 130 Chuo Kikuu Ardhi wapewa tuzo

CHUO Kikuu cha Ardhi kimewazawadia wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika fani mbalimbali, wamezawadiwa vyeti na zawadi kutoka kwa wadhamini ili kukuza elimu na kuongeza ushindani baina ya wanafunzi.

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 1,044 WAHITIMU CHUO KIKUU ARDHI LEO

 Wahitimu wa digrii ya  elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.
 Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa  digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu "Kuelekea modeli ya...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi Chuo Kikuu KIU wavunja viti, vioo

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kampala International University kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, wamefanya fujo na kuvunja viti, vioo na samani zingine za chuo hicho, ikiwa kama njia ya kushinikiza kutatuliwa kwa matatizo yanayowakabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani