Chuo Kikuu IMTU chafungiwa kudahili wanafunzi
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU),kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015. Hatua hiyo imefuatia chuo hicho kujiendesha chini ya viwango vya udhibiti vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kimepewa notisi ya miezi mitatu kurekebisha mapungufu yake. Kaimu Katibu Mtendaji wa TCU, Frofesa Magishi Mgasa, alisema kwa kuzingatia kifungu namba 5(1) (b), (h), (j) na (l) cha Sheria ya vyuo ...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Sep
Chuo cha IMTU chazuiwa kudahili
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matatibu na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015.
10 years ago
GPL24 Dec
10 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...
10 years ago
GPLSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
11 years ago
Habarileo18 Dec
Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi
UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.
10 years ago
Habarileo20 Nov
Wanafunzi Chuo Kikuu St John’s wagoma
WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St. John’s mjini hapa jana wamegoma kuingia madarasani, kushinikiza uongozi wa chuo hicho kutatua matatizo yao, ikiwemo madai ya chuo kuwa na sheria kandamizi.
10 years ago
Habarileo21 Aug
Wanafunzi 1,800 kulipiwa ada chuo kikuu
CHUO Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada.
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Wanafunzi 1,044 wahitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wahitimu wa digrii ya elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu “Kuelekea modeli ya mfumo wa...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Wanafunzi Chuo Kikuu Kampala waendelea kugoma
Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
WANAFUNZI wa Kitivo cha Sayansi ya Afya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) wameendelea kugoma kwa kufunga lango kuu la chuo hicho kuuzuia uongozi kuingia au kutoka hadi malalamiko yao yatakapopatiwa ufumbuzi.
Kwa mujibu wa wanafunzi hao, tangu waanze mgomo Aprili 10 mwaka huu, uongozi wa chuo hicho haujataka kuwasikiliza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wanafunzi wa chuo hicho waliainisha madai takriban saba wakidai ni ya muda mrefu.
“Tumegoma kwa sababu...