Wanafunzi Chuo Kikuu Kampala waendelea kugoma
Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
WANAFUNZI wa Kitivo cha Sayansi ya Afya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) wameendelea kugoma kwa kufunga lango kuu la chuo hicho kuuzuia uongozi kuingia au kutoka hadi malalamiko yao yatakapopatiwa ufumbuzi.
Kwa mujibu wa wanafunzi hao, tangu waanze mgomo Aprili 10 mwaka huu, uongozi wa chuo hicho haujataka kuwasikiliza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wanafunzi wa chuo hicho waliainisha madai takriban saba wakidai ni ya muda mrefu.
“Tumegoma kwa sababu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMwinyi awaasa wanafunzi kuchangamkia fursa ya kupata taaluma Chuo Kikuu cha Kampala
Akiongea wakati wa mahafali ya tatu ya chuo hicho kwa upande wa Tanzania jana ambapo wahitimu walitunikiwa shahada ,stashahada na vyeti vya kufuzu fani mbalimbali alisema chuo hicho kinatoa elimu bora ...
11 years ago
KwanzaJamii04 Jun
CHUO KIKUU IRINGA WAENDELEA NA MGOMO
10 years ago
Vijimambo22 Nov
WAZIRI MEMBE AWATAKA WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA KAMPALA KUTII SHERIA ZA NCHI
10 years ago
Habarileo20 Nov
Wanafunzi Chuo Kikuu St John’s wagoma
WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St. John’s mjini hapa jana wamegoma kuingia madarasani, kushinikiza uongozi wa chuo hicho kutatua matatizo yao, ikiwemo madai ya chuo kuwa na sheria kandamizi.
11 years ago
Habarileo18 Dec
Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi
UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.
10 years ago
KwanzaJamii26 Sep
Chuo Kikuu IMTU chafungiwa kudahili wanafunzi
10 years ago
Habarileo21 Aug
Wanafunzi 1,800 kulipiwa ada chuo kikuu
CHUO Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada.
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Wanafunzi 1,044 wahitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wahitimu wa digrii ya elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu “Kuelekea modeli ya mfumo wa...
10 years ago
Habarileo15 Apr
Wanafunzi Chuo Kikuu KIU wavunja viti, vioo
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kampala International University kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, wamefanya fujo na kuvunja viti, vioo na samani zingine za chuo hicho, ikiwa kama njia ya kushinikiza kutatuliwa kwa matatizo yanayowakabili.