Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo cha IMTU chazuiwa kudahili

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matatibu na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi Beach, Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

Chuo Kikuu IMTU chafungiwa kudahili wanafunzi

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia  (IMTU),kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015. Hatua hiyo imefuatia  chuo hicho  kujiendesha chini ya viwango vya udhibiti vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria, hivyo  kimepewa  notisi ya miezi mitatu  kurekebisha mapungufu yake. Kaimu Katibu Mtendaji wa TCU, Frofesa Magishi Mgasa, alisema kwa kuzingatia kifungu namba 5(1) (b), (h), (j) na (l) cha Sheria ya vyuo ...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE‏

 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO, Walter Nnko.…

 

10 years ago

GPL

MAHAFALI YA CHUO CHA IMTU YAFANA

Wahitimu wa Chuo cha IMTU kilichopo Mbezi beach wakiwa kwenye mahafali. Wahitimu hao wakila kiapo. Ndugu wa wahitimu wakifuatilia mahafali hayo kwa karibu…

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA TIBA IMTU CHAFANYA MAHAFALI YA SABA LEO

Wahitimu mbalimbali wakipewa vyeti.…

 

11 years ago

GPL

VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WATINGA MAHAKAMANI

Washtakiwa wakiwa katika gari la polisi Washtakiwa wakisubiri kuingia mahakamani.…

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUUUZZZZZ: VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WATINGA MAHAKAMANI, DPP AWAONDOLEA MASHTAKA

Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya kushindwa kufukia viungo vya binadamu na kupeleka hati ya kufukia viungo vilivyotumika kufundishia kwa Kampuni Coroner.  Vigogo hao ni, Venkat Subbaian (57), Appm Shankar (64), Prabhakar Rao (59) na Dinesh Kumar (27) ambao walisomewa mashtaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,...

 

11 years ago

GPL

ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake nchni India pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani