BREAKING NYUUUZZZZZ: VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WATINGA MAHAKAMANI, DPP AWAONDOLEA MASHTAKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-2apl8hySNxg/U9ZTrvM5tJI/AAAAAAAF7b0/tQMb3hV6Ukc/s72-c/unnamed+(27).jpg)
Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya kushindwa kufukia viungo vya binadamu na kupeleka hati ya kufukia viungo vilivyotumika kufundishia kwa Kampuni Coroner. Vigogo hao ni, Venkat Subbaian (57), Appm Shankar (64), Prabhakar Rao (59) na Dinesh Kumar (27) ambao walisomewa mashtaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJMhO2ocUeEFMeg1kq1VsPZm3OzMRU07TvStcCXRMNdqYOdphYjJxN0cfR7ldWBmEKbHIzIE1e6lP1xhhdlVQstZ/imtu1.jpg?width=650)
VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WATINGA MAHAKAMANI
11 years ago
Michuzi28 Jul
10 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...
10 years ago
GPLSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
9 years ago
MichuziDKT. MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)
10 years ago
Habarileo27 Sep
Hospitali IMTU kufunguliwa
UONGOZI wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) umesema hospitali hiyo inatarajia kufunguliwa mwishoni mwa mwezi ujao. Kufunguliwa kwake kunatokana na kukamilika kwa marekebisho ya upungufu uliokuwepo awali yaliyosababisha hospitali hiyo kufungiwa kwa muda usiojulikana.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Serikali yaifunga Hospitali ya IMTU
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Serikali yaifungia Hospitali ya IMTU
![Baadhi ya viungo vya miili vilivyokutwa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/IMTU.jpg)
Baadhi ya viungo vya miili vilivyokutwa
Oliver Oswald na Adam Malinda, Dar es Salaam
SERIKALI imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Tiba na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi eneo la Interchiki kwa muda usiofahamika.
Hospitali hiyo imefungiwa kutokana na kukosa sifa, ambapo imebainika kuwa maabara pamoja na wauguzi wake hawana vigezo vya kutoa huduma za kitabibu.
Hatua ya kuifungia hospitali hiyo imekuja siku chache tangu chuo hicho kilipokumbwa na tuhuma nzito za kuhusika na utupaji wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3OnStFdgH1zkv9aVEYl43-GJWPXLZZwn1HYijVWOyZzs-gEmGjLcC19IqCv1cQFp6a5o7AlCFPqVnuVCDOttrqcZ/IMG20141223WA0003.jpg)
MAHAFALI YA CHUO CHA IMTU YAFANA