Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wasio na uwezo kulipiwa ada

SERIKALI kupitia halmashauri zote nchini ina mpango wa kuwasaidia na kuwalipia ada na michango mingine wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo. Kauli hiyoilitolewa bungeni jana na Waziri wa Elimu na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 1,800 kulipiwa ada chuo kikuu

CHUO Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada.

 

10 years ago

Michuzi

miss tanga 2014 awasaidia vifaa vya shule wanafunzi wasio na uwezo

MREMBO wa mkoa wa Tanga 2014/15,Diana Festo ametoa zawadi za vifaa vya shule kwa wanafunzi wasio jiweza katika shule za msingi Wilayani Pangani,ili kufanikisha azma yake ya kuwataka wanafunzi kutambua umuhimu wa elimu na kuweka juhudi na kuzingatia masomo..
Shule ambazo zilipata nafasi ya kutembelewa na Mrembo huyo na kufanikiwa kupata vifaa hivyo ni ni shule ya msingi Pangani,Funguni, Mwela na shule ya msingi Mwembeni ambazo zote zinapatikana katika wilaya hiyo ya Pangani,huku vifaa...

 

10 years ago

Habarileo

Ada ya maji ‘yatotesha’ uwezo bwawa la Mtera

Bwawa la MteraUONGOZI wa mtambo wa kuzalisha umeme wa maji wa Mtera, umeiomba Serikali iangalie upya suala la ada ya maji inayotozwa na Wizara ya Maji, bila kuzingatia kiwango halisi cha uzalishaji wa mtambo huo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mtemvu atoa msaada wa tani 5 za vyakula kwa vikundi vya wasio na uwezo Temeke, Dar

1. Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  akipokea msaada

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014, Temeke, Dar es Salaam. 

2. Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada

 Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada huo wa vyakula kwa niaba ya kituo hicho.

3. Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang'ombe akipokea msaada

 Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang’ombe msaada wa...

 

11 years ago

Habarileo

Washutumiwa kwa kulea wanafunzi wasio na nidhamu

WAMILIKI wa shule na vyuo visivyo vya Serikali, wamelalamikia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kulea wanafunzi wasio na nidhamu mashuleni.

 

10 years ago

Habarileo

‘Muwashitaki wanaofukuza wanafunzi kwa ada’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameagiza wazazi kuwashitaki walimu wakuu na wakuu wa shule wanaofukuza wanafunzi kutokana na kushindwa kulipa ada au michango mingine.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ :Marufuku wanafunzi kurejeshwa nyumbani kwa ada

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar,  Zahra Ali Hamad SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka walimu wakuu kuacha tabia ya kuwasumbua na kuwarudisha shule wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kulipa ada ya mwaka.

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wawili walipiwa ada kwa malipo ya bima ya mama yao


Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari James Sangu (hawapo pichani ) juu ya namna ya kujiunga na fao hilo kabla ya kufanyika kwa zoezi la makabidhiano ya hundi kwa Jaqline Ndyamkama ambaye ni mwanafunzi wa shule hiyo yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mama yake Anna Jelle kufariki Dunia. Picha zote Emanuel Madafa, Mbeya.


Na Mwandishi Wetu, Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uwezo wa vyuo vikuu kuchukua wanafunzi wa sayansi bado changamoto kwa Tanzania kutimiza malengo ya EFA

DSC_0341

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania  Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa  malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa  katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa wadau wa sekta ya elimu pamoja na washirika wa maendeleo.(Picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani