Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtemvu atoa msaada wa tani 5 za vyakula kwa vikundi vya wasio na uwezo Temeke, Dar

1. Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  akipokea msaada

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014, Temeke, Dar es Salaam. 

2. Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada

 Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada huo wa vyakula kwa niaba ya kituo hicho.

3. Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang'ombe akipokea msaada

 Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang’ombe msaada wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar

Baadhi ya misaada mbalimbali  iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA,NGUO ULIOTOLEWA NA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM,TANDIKA DAR

Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Dar Live katika Sikukuu ya Eid Mosi.Mfalme Mzee Yusuf akipelekeshana puta na wanenguaji wake wakati wa shoo hiyo ndani ya Dar Live.Mfalme Mzee Yusuf na malikia wake, Leila Rashid wakinogeshana jukwaani.Mfalme Mzee Yusuf akifanya yake kwenye kinanda.Fatma Kassim akiwapa raha mashabiki wa Dar Live.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtemvu apokea msaada wa vyakula, nguo uliotolewa na kampuni ya Goodone kwa ajili ya kituo cha Yatima cha Alqam, Tandika Dar

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho.

 Mtemvu akipoea  balo la...

 

10 years ago

GPL

MTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA, NGUO ULIOTOLEWA NA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM, TANDIKA DAR‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. 
 Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo...

 

11 years ago

Michuzi

MTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI YA CCM TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akimkabidhi boksi la vyombo na zawadi ya sh. 10,000 mmoja wa viongozi 912 wa matawi wa ya CCM na jumuiya zake wa jimbo hilo, katika hafla ya kutoa mkono wa Idd el Fitr Dar es Salaam jana. Kila mmoja alipata zawadi kama hiyo. Katika boksi hilo kuna vikombe, birika, vijigo, sahani na chupa ya chai. Katikati ni mke wa mbunge huyo, Mariam Mtemvu.
Mtemvu akimkabidhi Mwenyekiti wa UWT CCM tawi la Mji Mpya Kata ya Buza, Temeke.
Naibu Meya wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC)KWA VIKUNDI VYA VIJANA

3Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipokea mashine za kufyatulia matofali kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Wilaya ya Temeke Bw. Wencenslaus Tillya ambazo zilikabidhiwa kwa vikundi vya vijana wilayani humo.4Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine kwa mwenyekiti wa kikundi cha Sokoine Youth Development William Gabriel.8Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chapakazi Youth Youth...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtemvu agawa vyakula vya mil.6/-

MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu amegawa vyakula vyenye thamani ya sh milioni sita kwa vituo 15 vya kulea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu wilayani Temeke jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani