MTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI YA CCM TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akimkabidhi boksi la vyombo na zawadi ya sh. 10,000 mmoja wa viongozi 912 wa matawi wa ya CCM na jumuiya zake wa jimbo hilo, katika hafla ya kutoa mkono wa Idd el Fitr Dar es Salaam jana. Kila mmoja alipata zawadi kama hiyo. Katika boksi hilo kuna vikombe, birika, vijigo, sahani na chupa ya chai. Katikati ni mke wa mbunge huyo, Mariam Mtemvu.
Mtemvu akimkabidhi Mwenyekiti wa UWT CCM tawi la Mji Mpya Kata ya Buza, Temeke.
Naibu Meya wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mtemvu atoa msaada wa tani 5 za vyakula kwa vikundi vya wasio na uwezo Temeke, Dar
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014, Temeke, Dar es Salaam.
Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada huo wa vyakula kwa niaba ya kituo hicho.
Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang’ombe msaada wa...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar
Baadhi ya misaada mbalimbali iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...
11 years ago
Michuzi31 Aug
MTEMVU: CCM ITAUPUKUTISHA UPINZANI TEMEKE UCHAGUZI WA MITAA, SIYO KWA NGUVU ILA KWA MATUNDA YA UTEKELEZAJI ILANI




11 years ago
MichuziMTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA,TEMEKE
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
10 years ago
Dewji Blog30 Sep
Mgombea Ubunge Temeke (CCM) Mtemvu ahaidi neema akichaguliwa tena
10 years ago
Vijimambo
BALOZI SEIF IDD AWATAKA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WENYE KULETA MAENDELEO


11 years ago
Michuzi
NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA



BOFYA...